Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Product zipi za hao waliofaoji vyeti bado tunazitumia? Maana walishasimama kazi na walipaswa kufungwa. Huyo mjomba wako anayedai mil 10 anaishi Mozambique?Hao waliofanya kosa la jinai miaka yote mbona products walizozitoa mlizpokea na mnaendelea kuzitumia ? Mbona hamkuziita ni za jinai?, mbona mpka leo mjomba wangu anadai zaidi ya milion sita za Korosho alizotapeliwa?..
Katazo la kubomoa nyumba lilikuwa halali? Nani alikashaifu wahanga wa janga la tetemeko kama sio kushabikia uzandiki wa kipuuzi?