Uchaguzi 2020 Sisi sio wajinga, Ulipochukua tu madaraka ukaanza na kubomoa nyumba zetu!

Zaidi ya October tukubali kulala bila boksa milele
Hahaha jiandae tu ndugu yangu hiyo ni lazima!! Achana na huyo Sky Eclat yeye ana stress na kizee cha kizungu hapo UK kinampa stress ya kufa mtu!! Sasa huwa anaingia hapa JF kupunguza stress zake!
 
Ungesema wewe siyo mjinga. Badala ya kuongelea nafsi ya mtu.

Mimi sipo hapo kwenye “Sisi”
Hapo kwenye 'sisi', anamaanisha sisi sote wenye akili timamu, tunaoipenda nchi yetu, tunaochukia unyanyasaji, tunaochukia ubaguzi, tunaochukia watu kutekwa, kupotezwa, kuuawa na miili kutupwa kwenye viroba. Yaani sisi tunaojua thamani ya utu wa mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja za kijinga sana hizi.

Unapinga maendeleo kwa kuhalalisha uvunjwaji wa sheria?

Mlilipwa fidia za kupisha upanuzi wa barabara kisha mkayauza maeneo hayo kitapeli....

Mengi uliyoandika hapo ni kuonyesha namna mnavyodharau sheria za nchi halafu mnalilia maendeleo....

Magufuli
emoji870.png
Tena
 
Mgombea wa ccm ajira yake inakoma October kwa aliyowatendea watz akatafute kazi zingine za kujiajiri kuliko kutegemea tumuajiri atuumize Tena milele
 
Hoja za kijinga sana hizi.

Unapinga maendeleo kwa kuhalalisha uvunjwaji wa sheria?

Mlilipwa fidia za kupisha upanuzi wa barabara kisha mkayauza maeneo hayo kitapeli....

Mengi uliyoandika hapo ni kuonyesha namna mnavyodharau sheria za nchi halafu mnalilia maendeleo....

Magufuli [emoji870] Tena
Hizo sheria zinabagua au so wa Mwanza wao Ni halali kuvunja sheria,rejea kauli za Hawa walinichagua,jiulize kwann watumishi anawashughulikia kuwakomoa eti walimpigia kura Lowasa.
 
Hoja za kijinga sana hizi.

Unapinga maendeleo kwa kuhalalisha uvunjwaji wa sheria?

Mlilipwa fidia za kupisha upanuzi wa barabara kisha mkayauza maeneo hayo kitapeli....

Mengi uliyoandika hapo ni kuonyesha namna mnavyodharau sheria za nchi halafu mnalilia maendeleo....

Magufuli [emoji870] Tena
Mwanza msiwavunjie nyumba zao maana hao ndio walionipigia kura mpk nikawa rais-Mtetezi wa Wanyongeeeeeeee.
 
SISI SIYO WAJINGA
Awamu zilizopita zilikuwa zinaajiri walimu kila mwaka ila Ulipoingia madarakani 2015, ulifuta ajira za walimu ukitegemea tutakufa njaa. Ila leo nashangaa unaomba kura tena
#SISI SIYO WAJINGA
 
Unamfukuza mwalimu na daktari kwasababu ya vyeti feki ila unamuacha mwanajeshi mwenye vyeti feki kwasababu akiingia mtaani atakuwa jambazi. Nchi za Afrika zinachekesha sana mpaka zinatia huruma. Kama unapitisha sheria, kwanini wengine wabaguliwe? Akili ya viongozi wa ccm wanazijua wenyewe
Sheria zilitungwa kwa watu masikini na wasiojiweza tu.
Hoja za kijinga sana hizi.

Unapinga maendeleo kwa kuhalalisha uvunjwaji wa sheria?

Mlilipwa fidia za kupisha upanuzi wa barabara kisha mkayauza maeneo hayo kitapeli....

Mengi uliyoandika hapo ni kuonyesha namna mnavyodharau sheria za nchi halafu mnalilia maendeleo....

Magufuli [emoji870] Tena
 
Duuh mkuu, huwa najiuliza hawa wanaomshabikia huyu jamaa haya hawayajui?? Wanaishi wapi hawa hata hawaguswi na mambo haya??

Wanapata wapi ujasiri wa kumuamini mtu huyu ambaye ametutenda kiasi hiki??
Tatizo ni NEC, NEC, NEC !
 
Unamfukuza mwalimu na daktari kwasababu ya vyeti feki ila unamuacha mwanajeshi mwenye vyeti feki kwasababu akiingia mtaani atakuwa jambazi. Nchi za Afrika zinachekesha sana mpaka zinatia huruma. Kama unapitisha sheria, kwanini wengine wabaguliwe? Akili ya viongozi wa ccm wanazijua wenyewe
Sheria zilitungwa kwa watu masikini na wasiojiweza tu.
Kanjanja yeyote lazima aipige serikali kwa kudeal na vyeti feki
 
Back
Top Bottom