Hii ni siku gani?Polepole jasho linamtoka Sana toka siku hii
View attachment 2055913
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni siku gani?Polepole jasho linamtoka Sana toka siku hii
View attachment 2055913
Unachanganya mafailiTunaomba mtuelewe, sisi tumeumia sana jamaa yetu kunyan'ganywa V8, tena zile mpya zilizotumika kwenye kampeni, tunaomba mtuelewe maumivu yetu. Hii krismas hataenda kijijini kwake maana watamuuliza liko wapi wakti alishawaambia alilinunua yeye
Kimekaa kichawi chawi tu hiki kirobotoPolepole jasho linamtoka Sana toka siku hii
View attachment 2055913
Tatizo wanamsema Nape wewe unakimbilia PolepoleTunaomba mtuelewe, sisi tumeumia sana jamaa yetu kunyan'ganywa V8, tena zile mpya zilizotumika kwenye kampeni, tunaomba mtuelewe maumivu yetu. Hii krismas hataenda kijijini kwake maana watamuuliza liko wapi wakti alishawaambia alilinunua yeye
Ameyasema hayo lini dada skyBulembo alisema Polepole aliamka tu asubuhi akajikuta yuko kwenye chumba kilichojaa $, sasa anadhani kuwa ile ilikuwa haki yake.
Hii sio photoduka mkuu kweliPolepole jasho linamtoka Sana toka siku hii
View attachment 2055913
Tunatembela mavieite
Aisee ungetuwekea na ile clip yake😆Vieteeeeee....
Unaijua vietee wewe....
Mmaaa......eeeeee kazi iendelee leta eagle beer 2
Jamaa fala sana, ameendekeza njaa.
Hata akinunua used mbona anaishi nalo tu af safi!Hela za vxr ni tshs 320m wabunge mwisho kuwakopesha tshs 120 hapo patamu, unaijua viete wewee
Ukimaliza kuvuta unga uje nikuonyeshe njia ya kwenda kwa shemeji yako maana utakua huoni wapi unakwenda.Tunaomba mtuelewe, sisi tumeumia sana jamaa yetu kunyan'ganywa V8, tena zile mpya zilizotumika kwenye kampeni, tunaomba mtuelewe maumivu yetu. Hii krismas hataenda kijijini kwake maana watamuuliza liko wapi wakti alishawaambia alilinunua yeye
Lingine sabaya kanunua kwa milioni 60 tu.Hela za vxr ni tshs 320m wabunge mwisho kuwakopesha tshs 120 hapo patamu, unaijua viete wewee
Dah we jamaa hahahah...Yaani hakuna tu Mapaparazi yenye hela ambao kazi yao ni kuwapiga picha kila wanakokatisha
Kweli tungeona upande wao wa pili wa maisha yakoje kwa sasa
Dah we jamaa hahahah...
Pesa za udalali alizopata kuuza na kununua mamluki alipeleka wapi? Aliishia kuvua pichu za wanawake itakula kwake. Kupata tena V8 asahauTunaomba mtuelewe, sisi tumeumia sana jamaa yetu kunyan'ganywa V8, tena zile mpya zilizotumika kwenye kampeni, tunaomba mtuelewe maumivu yetu. Hii krismas hataenda kijijini kwake maana watamuuliza liko wapi wakti alishawaambia alilinunua yeye