Sisi Team Polepole kinachotuuma ni mtu wetu kunyan'ganywa V8, yaani hatukubali komredi apande starlet

Siasa za Tanzania bwana unamnyang'anya Polepole V8 mzalendo wa kweli unawaacha wahuni wakitanua mtaani wakipanga mikakati ya kutuibia Kodi zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…