Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kwa sasa kazi ni moja tu: 'Kusifu na Kuabudu Awamu za utawala hapa nchini.'Huyu anaongea maneno haya unaweza shangaa naye ana mtoto au watoto. unaweza shangaa ana mke. na unaweza shangaa kabisa anaonekana anafaa baada ya kuongea hii kauli. hawa ndiyo aina ya watu ambao wamebaki kwenye hili Taifa. ni wengi sana kuliko wa aina nyingine. sisi ambao tunatumia akili kwa sasa tunapigwa vita kila sehemu. wamebaki tu hawa ambao hawahitaji kutumia akili.
nchi hii akipatakikana kiongozi mwenye akili wengi watamchukia. maana atawaondoa hawa vilaza wote makazini kisha aweke watu wenye akili ambao wataifanya nchi i move. lazima atachukiwa sana najua. lakini bila hivyo ....Taifa tayari limeshaathirika pakubwa sana katika hii miaka.
View attachment 2944199
MACHAWA MNATIA KINYAAHuyu anaongea maneno haya unaweza shangaa naye ana mtoto au watoto. unaweza shangaa ana mke. na unaweza shangaa kabisa anaonekana anafaa baada ya kuongea hii kauli. hawa ndiyo aina ya watu ambao wamebaki kwenye hili Taifa. ni wengi sana kuliko wa aina nyingine. sisi ambao tunatumia akili kwa sasa tunapigwa vita kila sehemu. wamebaki tu hawa ambao hawahitaji kutumia akili.
nchi hii akipatakikana kiongozi mwenye akili wengi watamchukia. maana atawaondoa hawa vilaza wote makazini kisha aweke watu wenye akili ambao wataifanya nchi i move. lazima atachukiwa sana najua. lakini bila hivyo ....Taifa tayari limeshaathirika pakubwa sana katika hii miaka.
View attachment 2944199
Nani kakuambia? Muasisi wa uchawa kuwa rasmi si ni yeye mwenyewe!Machawa mama hawataki
Sana tuMACHAWA MNATIA KINYAA
Bado hamjasema Hadi useme ππHuyu anaongea maneno haya unaweza shangaa naye ana mtoto au watoto. unaweza shangaa ana mke. na unaweza shangaa kabisa anaonekana anafaa baada ya kuongea hii kauli. hawa ndiyo aina ya watu ambao wamebaki kwenye hili Taifa. ni wengi sana kuliko wa aina nyingine. sisi ambao tunatumia akili kwa sasa tunapigwa vita kila sehemu. wamebaki tu hawa ambao hawahitaji kutumia akili.
nchi hii akipatakikana kiongozi mwenye akili wengi watamchukia. maana atawaondoa hawa vilaza wote makazini kisha aweke watu wenye akili ambao wataifanya nchi i move. lazima atachukiwa sana najua. lakini bila hivyo ....Taifa tayari limeshaathirika pakubwa sana katika hii miaka.
View attachment 2944199
Basi walioko ndani wanawazidi akili.Mkuu usichokijua ni kwamba sehemu kubwa ya tuliowapa dhamana ya kutuongoza ni wajinga ila mfumo unawabeba...wale warevu wanawekwa pembeni!.
Labda kama mapinduzi yaje yatokee huko mbeleni...ila kwa katiba hii sahau, eti uchaguzi??!!.
Ametisha sanaPrincipal Chawa Masanja Kadogosa
Kakuambia nani? Bila Hawa machawa Samia hawezi kustawi!!Machawa mama hawataki
Hadi nimepatwa na hasira ghafla! Ee Mungu nisameheHuyu anaongea maneno haya unaweza shangaa naye ana mtoto au watoto. unaweza shangaa ana mke. na unaweza shangaa kabisa anaonekana anafaa baada ya kuongea hii kauli. hawa ndiyo aina ya watu ambao wamebaki kwenye hili Taifa. ni wengi sana kuliko wa aina nyingine. sisi ambao tunatumia akili kwa sasa tunapigwa vita kila sehemu. wamebaki tu hawa ambao hawahitaji kutumia akili.
nchi hii akipatakikana kiongozi mwenye akili wengi watamchukia. maana atawaondoa hawa vilaza wote makazini kisha aweke watu wenye akili ambao wataifanya nchi i move. lazima atachukiwa sana najua. lakini bila hivyo ....Taifa tayari limeshaathirika pakubwa sana katika hii miaka.
View attachment 2944199
Bado hamjasema Hadi useme ππ
View: https://www.instagram.com/reel/C48MxFyMzHZ/?igsh=MWE0dnhpOXc4bzltbQ==