Sisi tuliochagua wapinzani tumekatiwa umeme na maji. Vipi upande wenu huko majimbo yanayopendwa na serikali?

Wenyewe wanakumbia kazi iendelee sasa kazi yenyewe ni kutwanga maji kwenye lini!!!
 
Kama sio nini?

Kuteka na kuuwa watu wasiokuwa nahatia ilikuwa ni Sera ya nani?

Kumpinga lissu risasi na kumfukuza ubunge ilikuwa Sera ya nani?

Kufungwa kwa wabunge wa upinzani ilikuwa ni Sera ya nani

Corona imetuondolea kero
 
Hili joto ni laana limesababishwa na serikali iliyopita ya utekaji na uuwaji. Mungu hawezi kubariki wauwaji
Na alitala waumbuke. Maana wengi bado wako madarakani. Infact aliyeondoka ni magufuli tu the rest wamo.
 
Kama sio nini?

Kuteka na kuuwa watu wasiokuwa nahatia ilikuwa ni Sera ya nani?

Kumpinga lissu risasi na kumfukuza ubunge ilikuwa Sera ya nani?

Kufungwa kwa wabunge wa upinzani ilikuwa ni Sera ya nani

Corona imetuondolea kero
Wajinga hao wachawi hawana roho za utu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…