Sisi tuliochagua wapinzani tumekatiwa umeme na maji. Vipi upande wenu huko majimbo yanayopendwa na serikali?

Sisi tuliochagua wapinzani tumekatiwa umeme na maji. Vipi upande wenu huko majimbo yanayopendwa na serikali?

Wenyewe wanakumbia kazi iendelee sasa kazi yenyewe ni kutwanga maji kwenye lini!!!
 
IMG-20211119-WA0058.jpg
 
Mbona 2015 hadi 2020 hatukuongozwa na chama chochote na mambo yalikwenda.

Vyama vinatuchelewesha sana.

Kuvunja jengo la Tanesco ubungo ilikuwa Sera ya chama?

Kujenga lile daraja baharini salenda ilikuwa Sera ya chama?

Kuwavunjia nyumba kimara nakuwaacha wa mwanza zilikuwa Sera za chama?
Kama sio nini?

Kuteka na kuuwa watu wasiokuwa nahatia ilikuwa ni Sera ya nani?

Kumpinga lissu risasi na kumfukuza ubunge ilikuwa Sera ya nani?

Kufungwa kwa wabunge wa upinzani ilikuwa ni Sera ya nani

Corona imetuondolea kero
 
Hili joto ni laana limesababishwa na serikali iliyopita ya utekaji na uuwaji. Mungu hawezi kubariki wauwaji
Na alitala waumbuke. Maana wengi bado wako madarakani. Infact aliyeondoka ni magufuli tu the rest wamo.
 
Kama sio nini?

Kuteka na kuuwa watu wasiokuwa nahatia ilikuwa ni Sera ya nani?

Kumpinga lissu risasi na kumfukuza ubunge ilikuwa Sera ya nani?

Kufungwa kwa wabunge wa upinzani ilikuwa ni Sera ya nani

Corona imetuondolea kero
Wajinga hao wachawi hawana roho za utu.
 
Back
Top Bottom