joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kwahiyo hiyo pesa UN wanalipa moja kwa moja Serikalini sio KRA sio?. Kwahiyo sio pesa yote ya Serikali hupitia KRA or TRA.That money is in the department of ministry of finance called CBK that is where the safes are ,we ndio mjinga maadamu uwezo wa kufikiria huna.
Nenda kajifunze tena kwamba KRA &TRA ni vyombo vilivyopewa mamlaka kukusanya pesa ya Serikali na kuikabidhi serikali, pale ambapo Serikali yenyewe inakusanya pesa yake moja kwa moja, KRA & TRA haziwezi kwenda kuzichukua hizo pesa kutoka mikononi mwa serikali ili baadae wakaipelekee Serikali hiyo hiyo.
Ninyi uchumi wenu ni capitalists ndio sababu Serikali yenu haina investments sana, huku kwetu serikali ilikua na viwanda vingi sana, na ilikua ikiwekeza ktk maeneo Mbalimbali, kazi ya TRA katika investments za serikali ni kukusanya kodi tu, lakini kiwanda kikipata faida, hiyo pesa inapelekwa moja kwa moja wizara ya fedha, huko huko ambako TRA wanapekeka. Sio pesa yote ya serikali hupitia TRA/KRA.