joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Utajuaje na wewe ni zuzu?Hivyo vyanzo ndio ungeviweka hapa tatizo nyie wazalendo wa CCM akili hamna mna shabikia kijinga tu. Umeshindwa kuorodhesha hata chanzo kimoja tofauti na TRA halafu unakuja hapa kutoa povu na kushabikia ccm ambayo haijafanya chochote? Kweli we ni kiazi.
1) Imeshasikia Magufuli akisisitiza kitu kinachoitwa Gawio?, kwamba mashirika ya uma lazima yapeleke gawio Serikalini?
2)Serikali inamiliki vitega uchumi Mbalimbali kama vile ATCL, meli na TRC
3)Fine zitokanazo na makosa mahakamani
4)Mali zibazotaifishwa mahakamani, juzi tumetaifisha kilo 327 za dhahabu.
5)Serikali huwa inafanya biashara na ubia na Private sector kama vile BRT, serikali ina share ya 48%.
6)Kutokana na marekebisho ya sheria ya madini ya mwaka huu, migodi yote ya MADINI itagawana faida na serikali nusu kwa nusu.
7)Kuuza nyara za serikali zinazokamatwa toka kwa majangili, au toka kwa Wanyama wabaofariki mbugani. Tanzania ina zaidi ya tani elfu tano ya pembe za ndovu ghalani.
8) Pesa nchi inayopata kutokana na ushiriki wa majeshi yetu yanayolinda amani nje ya nchi.
9)Gawiwo la nchi wanachama wa SADC
Hivi ni baadhi tu ya vyanzo nje ya kodi inayokusanywa na TRA.