Sisi tunajenga kwa pesa za ndani!

Sisi tunajenga kwa pesa za ndani!

Hivyo vyanzo ndio ungeviweka hapa tatizo nyie wazalendo wa CCM akili hamna mna shabikia kijinga tu. Umeshindwa kuorodhesha hata chanzo kimoja tofauti na TRA halafu unakuja hapa kutoa povu na kushabikia ccm ambayo haijafanya chochote? Kweli we ni kiazi.
Utajuaje na wewe ni zuzu?
1) Imeshasikia Magufuli akisisitiza kitu kinachoitwa Gawio?, kwamba mashirika ya uma lazima yapeleke gawio Serikalini?
2)Serikali inamiliki vitega uchumi Mbalimbali kama vile ATCL, meli na TRC
3)Fine zitokanazo na makosa mahakamani
4)Mali zibazotaifishwa mahakamani, juzi tumetaifisha kilo 327 za dhahabu.
5)Serikali huwa inafanya biashara na ubia na Private sector kama vile BRT, serikali ina share ya 48%.
6)Kutokana na marekebisho ya sheria ya madini ya mwaka huu, migodi yote ya MADINI itagawana faida na serikali nusu kwa nusu.
7)Kuuza nyara za serikali zinazokamatwa toka kwa majangili, au toka kwa Wanyama wabaofariki mbugani. Tanzania ina zaidi ya tani elfu tano ya pembe za ndovu ghalani.
8) Pesa nchi inayopata kutokana na ushiriki wa majeshi yetu yanayolinda amani nje ya nchi.
9)Gawiwo la nchi wanachama wa SADC
Hivi ni baadhi tu ya vyanzo nje ya kodi inayokusanywa na TRA.
 
Ilipe na madeni/ madai mbalimbali ya Watumishi ikiwa ni pamoja na malimbikizo ya mishahara yaliyotokana na kupandishwa vyeo,kurejeshwa mishahara baada ya mashauri mbalimbali ya kinidhamu yaliyokuwa yakiwakabili watumishi kumalizika
Sasa nani aliyekuambia yote hayo yanalipwa ndani ya mwaka mmoja, Serikali inalipa kidogo kidogo kulingana na uwezo, huku miradi mingine ya maendeleo ikiendelea. Hivi unajua maana ya neno bajeti?.
 
Utajuaje na wewe ni zuzu?
1) Imeshasikia Magufuli akisisitiza kitu kinachoitwa Gawio?, kwamba mashirika ya uma lazima yapeleke gawio Serikalini?
2)Serikali inamiliki vitega uchumi Mbalimbali kama vile ATCL, meli na TRC
3)Fine zitokanazo na makosa mahakamani
4)Mali zibazotaifishwa mahakamani, juzi tumetaifisha kilo 327 za dhahabu.
5)Serikali huwa inafanya biashara na ubia na Private sector kama vile BRT, serikali ina share ya 48%.
6)Kutokana na marekebisho ya sheria ya madini ya mwaka huu, migodi yote ya MADINI itagawana faida na serikali nusu kwa nusu.
7)Kuuza nyara za serikali zinazokamatwa toka kwa majangili, au toka kwa Wanyama wabaofariki mbugani. Tanzania ina zaidi ya tani elfu tano ya pembe za ndovu ghalani.
8) Pesa nchi inayopata kutokana na ushiriki wa majeshi yetu yanayolinda amani nje ya nchi.
9)Gawiwo la nchi wanachama wa SADC
Hivi ni baadhi tu ya vyanzo nje ya kodi inayokusanywa na TRA.
Hivyo vyote vipo chini ya TRA
 
Bodi inayokusanya mapato yote ya serikali ni TRA, hata hela zitoke mahakamani au kwenye madini mwisho wa kwisha zinawekwa kwenye consolidated account ,hayo mapato yote yapo chini ya TRA, ndio maana makadirio ya budget ikifanywa Wanaangalia Sana mapato ya TRA.kwanza serikali ya Tanzania haiuzi madini Ila inakusanya ushuru tu kutoka Kwa wachimbaji na ile loyalty inayolipwa na vyote vipo chini ya TRA.
 
Hahahahaha, kama kawaida yenu, hamjui lakini hamtaki kuambiwa hamjui, hovyo kabisa ninyi. TRA au KRA kazi yao ya msingi ni kukusanya kodi tu, labda itokee Serikali iwape jukumu la ziada. Kumbuka kodi ndio chanzo Kikuyu cha mapato ya Serikali yoyote, na ni jukumu kubwa sana, ni mtu mjinga tu ndiye ambaye ataongeza mzigo kwa TRA kukusanya mapato ambayo tayari yameshaingia Serikalini, tumia akili wewe.

KRA &TRA ambazo zote ni wakala wa Serikali, zikikusanya kodi wanapeleka wizara ya fedha, Mahakama zikikusanya pesa, hiyo pesa moja kwa moja inaingia Serikalini, sasa kuna sababu gani tena KRA & TRA waende wakachukue pesa iliyopo katika accounts za mahakama ambazo ni account za serikali ili baada wazipeleke wizara ya fedha ambayo ni Serikali?.

Hivi UN wanapoilipa nchi kutokana na kuwepo kwa majeshi ya hiyo nchi huko nje, pia hiyo pesa watawapa TRA?. Juzi tulitaifisha dhahabu kilo 327 na mamilioni ya pesa yaliyokuwa yanakamatwa, kwanini wasikabidhiwe TRA badala yake wamepewa Wizara ya fedha moja kwa moja toka mahakamani?.

Kama pesa imeshaingia Serikalini, kama vile pesa toka mahakamani, ATCL, TRC, BRT, sasa unataka wapewe tena TRA ili iweje wakati kazi ya TRA na KRA ni kukusanya pesa ya Serikali ambayo haipo katika accounts za serikali?.

Kuhusu dhahabu, Tanzania kama nchi, huwa inakuwa na share katika makampuni Mbalimbali yanayochimba MADINI hapa nchini, Kwahiyo huwa madini yakiuzwa, Serikali inapata mgao wake, hiyo ni mbali na kodi inayopata Serikali.
 
Hivyo vyote vipo chini ya TRA
Hujui kitu, jaribu kujifunza. Vipi kuhusu bank transactions?. Unaponunu bidhaa nje ya nchi, ukituma pesa kwa kupitia bank yako, huwa wanakulipisha gharama za kutuma hiyo pesa, unajua kwamba sehemu kubwa ya hiyo pesa inachukuliwa na CBK?, hiyo ni pesa ya Serikali, ikitoka CBK moja kwa moja inaenda Treasury, hairudi tena KRA.
 
Si hoja ,muaga povu utakavyo wewe shauri yako ,cha msingi hayo mapato yote yanaitwa revenue ya serikali Kwa mwaka husika , na Tanzania ina uwezo wa kukusanya Tu trillion 14, kumbuka kwamba kazi ya mahakama si kukusanya ushuru au wizara yoyote Ile ,TRA inakusanya ushuru kupitia hizo idara za serikali zote.
 
Vipi Leo, utaenda kuhudhuria kundi gani?, Tangatanga au Kieleweke?. Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.
 
Hujui kitu, jaribu kujifunza. Vipi kuhusu bank transactions?. Unaponunu bidhaa nje ya nchi, ukituma pesa kwa kupitia bank yako, huwa wanakulipisha gharama za kutuma hiyo pesa, unajua kwamba sehemu kubwa ya hiyo pesa inachukuliwa na CBK?, hiyo ni pesa ya Serikali, ikitoka CBK moja kwa moja inaenda Treasury, hairudi tena KRA.
Hata KRA is part of treasury, Hayo mapato yote yana angaliwa na KRA na ndio inaruhusiwa kuyatangaza mapato yote ya serikali ambayo yamekusanywa Kwa kipindi kizima.
 
That is not the role of cbk.
Cbks main work is supervision and licensing of financial institutions.
 
Si hoja ,muaga povu utakavyo wewe shauri yako ,cha msingi hayo mapato yote yanaitwa revenue ya serikali Kwa mwaka husika , na Tanzania ina uwezo wa kukusanya Tu trillion 14, kumbuka kwamba kazi ya mahakama si kukusanya ushuru au wizara yoyote Ile ,TRA inakusanya ushuru kupitia hizo idara za serikali zote.

No no the big no.
Ina maana halmashauri zikikusanya mapato YAO zinapeleka TRA? Halafu NDIYO zinatumia? Au tarura wakikusanya ushuru wa parking au mabango zinapeleka TRA? Au wizara ya maliasili ikikusanya maduhuri inapeleka tra?
 
Hata KRA is part of treasury, Hayo mapato yote yana angaliwa na KRA na ndio inaruhusiwa kuyatangaza mapato yote ya serikali ambayo yamekusanywa Kwa kipindi kizima.
Mwendawazimu wewe, kwahiyo CBK isitime moja kwa moja Treasury wakati ina direct access badala yake izipitishe hizo pesa KRA, UN wanapolipa kugharimia majeshi yenu kule Somalia, wanapitisha hiyo pesa KRA?, nenda kahudhurie mikutano ya Kieleweke Leo, ukaendelee kupewa ahadi za uongo.
 
That is not the role of cbk.
Cbks main work is supervision and licensing of financial institutions.
Hahahahaha, kwahiyo hizi Bank zote hapo nchini na hayo maduka ya kubadilishia pesa za Kigeni, na Western Union wanapotuma pesa kwenda nje ya nchi na kupokea fedha toka nje ya nchi, nani anayewadhibiti?. Unaposikia Kenya ina Foreign reserve $8B, nani anakua na hiyo pesa na nani anayeitumia hiyo pesa?. Wakenya ipo shida katika kichwa yenu. You are so empty headed.
 
Re-read what you had said earlier.
 
Mwendawazimu wewe, kwahiyo CBK isitime moja kwa moja Treasury wakati ina direct access badala yake izipitishe hizo pesa KRA, UN wanapolipa kugharimia majeshi yenu kule Somalia, wanapitisha hiyo pesa KRA?, nenda kahudhurie mikutano ya Kieleweke Leo, ukaendelee kupewa ahadi za uongo.
Wewe unaita wengine wendawazimu what is the difference between Treasury and cbk?
 
Mwendawazimu wewe, kwahiyo CBK isitime moja kwa moja Treasury wakati ina direct access badala yake izipitishe hizo pesa KRA, UN wanapolipa kugharimia majeshi yenu kule Somalia, wanapitisha hiyo pesa KRA?, nenda kahudhurie mikutano ya Kieleweke Leo, ukaendelee kupewa ahadi za uongo.
Your understanding capacity is too low, CBK or BOT is not in the business of doing business,it's main duty is to formulate financial policy , to promote financial stability, and print of country's currency. Whereas KRA or TRA is the central body mandated for the assessment and collection of all revenue, for the administration and enforcement of the laws related to revenue. Natumai hautakuja kunambia vile wizara ya madini inakusanya loyalty.
 
Kenya has got $8B reserve foreign currency, where is it, and who uses it, is it TRA, is it Ministry of finance?.

Wewe acha ujinga, nani kakuambia wizara ya MADINI inakusanya chochote?. Acha ujinga wewe, nchi ya QATAR mapato yake makubwa hayatokani na kodi, bali yanatokana na investments ya Serikali ya Qatar waliyowekeza duniani kote, he hiyo pesa yao inakusanywa na QRA?.

Mbona hunijibu kuhusu pesa inayolipwa na UN kutokana na KDF kuwepo Somali?, hiyo pesa hupitia KRA?.
 
Nimekwambia Una tatizo la kudadhisi mambo, KRA is a department of taxes in the ministry of finance,same with the CBK ,it's a department of policy formulation, financial stability, issuance of licences to financial institutions and currency print in the ministry of finance.
 
Kenya has got $8B reserve foreign currency, where is it, and who uses it, is it TRA, is it Ministry of finance?.

Wewe acha ujinga, nani kakuambia wizara ya MADINI inakusanya chochote?. Acha ujinga wewe, nchi ya QATAR mapato yake makubwa hayatokani na kodi, bali yanatokana na investments ya Serikali ya Qatar waliyowekeza duniani kote, he hiyo pesa yao inakusanywa na QRA?.

Mbona hunijibu kuhusu pesa inayolipwa na UN kutokana na KDF kuwepo Somali?, hiyo pesa hupitia KRA?.
That money is in the department of ministry of finance called CBK that is where the safes are ,we ndio mjinga maadamu uwezo wa kufikiria huna.
 
Back
Top Bottom