Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Sisi wanatuona kama ni Nyani. Suala la ushindi wa Senegal limeonesha jinsi gani jamaa wana chuki na watu weusi. Ile match ni Miungu yetu ilitusaidia kuonesha nguvu zake. Kwa kweli imetuheshimisha sana.
Hawa jamaa wanatuma na kuandika vitu vingi vya kutudhihaki. Hii yote ni sababu ya Ushindi wa Senegal. Hawajapenda kabisa na wanasambaza chuki.
Hawa jamaa wanatuma na kuandika vitu vingi vya kutudhihaki. Hii yote ni sababu ya Ushindi wa Senegal. Hawajapenda kabisa na wanasambaza chuki.