Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Wewe kiazi umeongea jambo la maana sana👏Kama weusi tunabaguana wenyewe kisa ukabila iweje waarabu na na wazungu wasitubague?
Ibada njema huanzia nyumbani.
Naenda kupata mvinyo kwa kufanya vizuri huku.Wewe kiazi umeongea jambo la maana sana👏