NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kwa hiyo Hilo ndiyo kombe lenu lililobakia???
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HUNA AKILINikikwambia mpira hujui huwa unabisha, sasa angalia ulichoandika.
umeonesha kuwa madhaifu ya Marumo Gallants hadi kupelekewa kufungwa ni kutaka kushambulia ili wapate magoli. Sasa embu fikiria kwao je watapaki bus ili wasifungwe? Au watashambilia kama walivyofanya hapa na kupelekea kufungwa tena huko huko kwao?
Lazima uchanganyikiwe huku Simba inakuvuruga,Arsenal inakutibua utakuwa chizi msimu huu ukifaya masihala.Maana si kwa pira lile tulilopigiwa, tunaamini kabisa kule south tunaenda kukamilisha ratiba tu.
Kinachokwenda kuiua Yanga kule south ni hivi hapa chini...
1. Game plan yao, ukiwaangalia vizuri jamaa waliamua kulinda wasiruhusu magoli ugenini kwa kumiliki mpira na waliweza kufanya hivyo katika kipindi cha kwanza,kilichowaponza ni kuona kuwa wanawamudu yanga hivyo kuamua kushambulia zaidi ili wapate angalau magoli ugenini ili kazi iwe rahisi nyumbani ...matokeo yake BOOOOOOOMMMM
2. Kadi za njano za BANGALA, AUCHO na JOB zitapelekea utopolo wacheze kwa uangalifu sana katika game itakayopigwa south maana kuna uwezekano wa kupatikana kwa red card kutokana na aina ya soka lao hao jamaa wanamiliki sana mpira na ni maballdancer[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
3. Morrison ni wa hapahapa havuki boda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utabiri wangu game itaisha kwa aggregate ya Yanga 2 MALUMO GARRANTS 4.
TWENZETU KWA MADIBA.......View attachment 2617031
Mkuu muda wa kumjibu uyo mbumbumbu unaupatia wapi, unapoteza bure muda wako kumjibu uyo boya, Malumo watapigwa tena uko uko kwao kwakuwa wataenda kufunguka na hapo ndio watakiona cha motoNikikwambia mpira hujui huwa unabisha, sasa angalia ulichoandika.
umeonesha kuwa madhaifu ya Marumo Gallants hadi kupelekewa kufungwa ni kutaka kushambulia ili wapate magoli. Sasa embu fikiria kwao je watapaki bus ili wasifungwe? Au watashambilia kama walivyofanya hapa na kupelekea kufungwa tena huko huko kwao?
Huwezi kuwa yanga wewe,mzee kinauma??kichomoeMaana si kwa pira lile tulilopigiwa, tunaamini kabisa kule south tunaenda kukamilisha ratiba tu.
Kinachokwenda kuiua Yanga kule south ni hivi hapa chini...
1. Game plan yao, ukiwaangalia vizuri jamaa waliamua kulinda wasiruhusu magoli ugenini kwa kumiliki mpira na waliweza kufanya hivyo katika kipindi cha kwanza,kilichowaponza ni kuona kuwa wanawamudu yanga hivyo kuamua kushambulia zaidi ili wapate angalau magoli ugenini ili kazi iwe rahisi nyumbani ...matokeo yake BOOOOOOOMMMM
2. Kadi za njano za BANGALA, AUCHO na JOB zitapelekea utopolo wacheze kwa uangalifu sana katika game itakayopigwa south maana kuna uwezekano wa kupatikana kwa red card kutokana na aina ya soka lao hao jamaa wanamiliki sana mpira na ni maballdancer[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
3. Morrison ni wa hapahapa havuki boda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utabiri wangu game itaisha kwa aggregate ya Yanga 2 MALUMO GARRANTS 4.
TWENZETU KWA MADIBA.......View attachment 2617031
Ule uban mliochoma South unakumbuka llikuwa kombe gani??Tulia wewe,ninyimwe raha katika kombe la waliofeli?
Mamluki haoSwali tumeshinda hatujashinda?
Mbona madunduka FC mnahaha sana?
Kufungwa wamefungwa wacheza kwaito, maumivu mnayasikia nyie khee 🤔
Ankol umerudi. Pole sana sana. Yeah hawa mamluki tunawajua 😄😄😄😄Mamluki hao
Wanatamani wawe wao.. ila haiwezekani.. .. kama vip wameze viwembe tuAnkol umerudi. Pole sana sana. Yeah hawa mamluki tunawajua 😄😄😄😄
Wewe na yule Popoma mwenzako, mnastahili kabisa kupuuzwa. Maana mpaka muda huu mnatapatapa tu.Maana si kwa pira lile tulilopigiwa, tunaamini kabisa kule south tunaenda kukamilisha ratiba tu.
Kinachokwenda kuiua Yanga kule south ni hivi hapa chini...
1. Game plan yao, ukiwaangalia vizuri jamaa waliamua kulinda wasiruhusu magoli ugenini kwa kumiliki mpira na waliweza kufanya hivyo katika kipindi cha kwanza,kilichowaponza ni kuona kuwa wanawamudu yanga hivyo kuamua kushambulia zaidi ili wapate angalau magoli ugenini ili kazi iwe rahisi nyumbani ...matokeo yake BOOOOOOOMMMM
2. Kadi za njano za BANGALA, AUCHO na JOB zitapelekea utopolo wacheze kwa uangalifu sana katika game itakayopigwa south maana kuna uwezekano wa kupatikana kwa red card kutokana na aina ya soka lao hao jamaa wanamiliki sana mpira na ni maballdancer[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
3. Morrison ni wa hapahapa havuki boda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utabiri wangu game itaisha kwa aggregate ya Yanga 2 MALUMO GARRANTS 4.
TWENZETU KWA MADIBA.......View attachment 2617031
Mnacheza kombe gani kwani?Sisi sio makolo mna bana tako nyumbani afu ugenini mna liachia .mta baki na slogan yenu ya kwa mkapa hatoki mtu ila mki vuka border ni vichapo tu .sisi popote ulipo tuna kuchapa