Sisi Utopolo tumeshinda ila hatuna raha

Sisi Utopolo tumeshinda ila hatuna raha

Wewe na yule Popoma mwenzako, mnastahili kabisa kupuuzwa. Maana mpaka muda huu mnatapatapa tu.
Hakuna anayetapatapa mkuu,sisi tunacheka na kufurahi kuona mnaanza kupiga hatua walau muanze kuelekea kule timu kubwakubwa zilipo...


Hivi bado mpo nafasi ya 31 eti???
Mpambane japo mfike ishirini bora msimu huu basi
 
Maana si kwa pira lile tulilopigiwa, tunaamini kabisa kule south tunaenda kukamilisha ratiba tu.

Kinachokwenda kuiua Yanga kule south ni hivi hapa chini...

1. Game plan yao, ukiwaangalia vizuri jamaa waliamua kulinda wasiruhusu magoli ugenini kwa kumiliki mpira na waliweza kufanya hivyo katika kipindi cha kwanza,kilichowaponza ni kuona kuwa wanawamudu yanga hivyo kuamua kushambulia zaidi ili wapate angalau magoli ugenini ili kazi iwe rahisi nyumbani ...matokeo yake BOOOOOOOMMMM

2. Kadi za njano za BANGALA, AUCHO na JOB zitapelekea utopolo wacheze kwa uangalifu sana katika game itakayopigwa south maana kuna uwezekano wa kupatikana kwa red card kutokana na aina ya soka lao hao jamaa wanamiliki sana mpira na ni maballdancer[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

3. Morrison ni wa hapahapa havuki boda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Utabiri wangu game itaisha kwa aggregate ya Yanga 2 MALUMO GARRANTS 4.

TWENZETU KWA MADIBA.......View attachment 2617031
Pole sana ndugu yangu hakika unaupiga mwingi kwa majungu maana huna cha kufanya zaidi ya majungu tu
 
Nikikwambia mpira hujui huwa unabisha, sasa angalia ulichoandika.

umeonesha kuwa madhaifu ya Marumo Gallants hadi kupelekewa kufungwa ni kutaka kushambulia ili wapate magoli. Sasa embu fikiria kwao je watapaki bus ili wasifungwe? Au watashambilia kama walivyofanya hapa na kupelekea kufungwa tena huko huko kwao?
Hahahah [emoji23]
 
Back
Top Bottom