Sisi Utopolo tumeshinda ila hatuna raha

HUNA AKILI
 
Lazima uchanganyikiwe huku Simba inakuvuruga,Arsenal inakutibua utakuwa chizi msimu huu ukifaya masihala.
 
Mkuu muda wa kumjibu uyo mbumbumbu unaupatia wapi, unapoteza bure muda wako kumjibu uyo boya, Malumo watapigwa tena uko uko kwao kwakuwa wataenda kufunguka na hapo ndio watakiona cha moto
 
Huwezi kuwa yanga wewe,mzee kinauma??kichomoe
 
Mimi nlijua mtoa mada ni kidume kumbe ni binti! Binti punguza hasira na makasiriko, ukiwa unashabikia hz team za kariakoo jitahidi kubalance mahaba yasikufanye u-generate chuki Kwa hasimu la sivyo Simba watacheza ukiwa ukumbini/Banda umiza
 
Wewe na yule Popoma mwenzako, mnastahili kabisa kupuuzwa. Maana mpaka muda huu mnatapatapa tu.
 
Sisi sio makolo mna bana tako nyumbani afu ugenini mna liachia .mta baki na slogan yenu ya kwa mkapa hatoki mtu ila mki vuka border ni vichapo tu .sisi popote ulipo tuna kuchapa
 
Mkuu muda wa kumjibu uyo mbumbumbu unaupatia wapi, unapoteza bure muda wako kumjibu uyo boya, Malumo watapigwa tena uko uko kwao kwakuwa wataenda kufunguka na hapo ndio watakiona cha moto
Unawashwa???
 
Sisi sio makolo mna bana tako nyumbani afu ugenini mna liachia .mta baki na slogan yenu ya kwa mkapa hatoki mtu ila mki vuka border ni vichapo tu .sisi popote ulipo tuna kuchapa
Mnacheza kombe gani kwani?

Kama ni luzaz achana nalo hilo wanashiriki vilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…