Sisi Utopolo tumeshinda ila hatuna raha

Wewe na yule Popoma mwenzako, mnastahili kabisa kupuuzwa. Maana mpaka muda huu mnatapatapa tu.
Hakuna anayetapatapa mkuu,sisi tunacheka na kufurahi kuona mnaanza kupiga hatua walau muanze kuelekea kule timu kubwakubwa zilipo...


Hivi bado mpo nafasi ya 31 eti???
Mpambane japo mfike ishirini bora msimu huu basi
 
Pole sana ndugu yangu hakika unaupiga mwingi kwa majungu maana huna cha kufanya zaidi ya majungu tu
 
Hahahah [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…