inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 657
- 733
Wadau habari.
Muziki wa hiphop wa sasa umebadilika sana.Lakini kwa sisi wenye kumbukumbu za zamani hebu tukumbushane.
1.Je unaikumbuka ngoma ya kwanza Unit aliimba Bugz Malone na D Rob.Bug alikuwa anachana kiingereza alafu D akapoga chorus ya Kiswahili iliyokuwa inaenda "kama hujui unapotoka,hujui unapokwenda fikiri kabla ya kutenda,fanya unachopenda iliandikwa haikuswema fanta mapema sasa nasema".Ngoma hii nilikuwa naielewa sana.
2.Kulikuwa na ngoma ya Diplomat yaani Saigoni na Dola ililuwa inaitwa ngoma ngumu.Ilikuwa mlto wa kuotea mbali.
3.Kuliluwa na ngoma ya kwanza unit aliimba KBC inaitwa heads in the regula.Moto kabisa vijana wa sasa hawawezi kuelewa.
4.Wale watu wa mbeya kulikuwa na mtu anaitwa Masstiff.Aliluwa na kundi lao wanaitwa Cave Dwela.Walitoa ngoma inaitwa ulimwengu shughuli pevu,humo alichana Masstif na Mr Mature.Masstiff pianalikuwa na ngoma inaitwa hii ni africa.Ngoma hii ilitikisa sana Mbeya miaka hiyo.
Baadae Masstiff alienda Arusha,akafanya fanya kazi na akina JCB na Lord Eyea kipindi hicho michano ni tongue twist.Baadae inasemekana madawa yalimuathiri.Sina uhakika nanhizo stori.
Wale wakongwe wa zamani hebu tukumbushane mambo hizi.