PLATO_
Senior Member
- Jan 25, 2020
- 116
- 230
Leo nimekaa nimetafakari sana bila kupata jibu, Samahani kwa Tafakuri yangu kama nitaudhi imani za watu wengine basi naombeni mnisamehe sana.
"Waungwana mbona Wazungu wao wanahistoria nzuri sana kuanzia kwenye vitabu vya dini mpaka historia za watu wa kale kama Akina Zius, Pericles Aristotle,Plato, Miji mizuri ya kale kama Greece na mengineyo,
Siisi Waafrika historia yetu wapi? Maana vitabu vya dini vyote characters wake wote ni wazungu na Waarabu akina Petro, Mussa, Muhammad.
Huwezi kuta Kuta Mzee Mwakamoto kwenye Blible au Mzee Mwambuchi kwenye Quran kwanza ataandikwaje?😂😂(Jokes)
Imagine jina Pilato au Yuda lilivokuwa baya na walifanya mabaya pia humo kwenye Bible Je jina Makonda lingeandikwa kwenye bibles unahisi lingezungumziwaje?😂😂 (jokes)
Ukiachana na kingdom maarufu kuwahi kuwepo Afrika kama Zulu empire, Hehe kingdom baada ya ujio wa wakoloni na dini zao sisi tulitoka wapi Waafrika?
Ni kweli sisi tulitokana na nyani au udongo?
Wazungu na waarabu wamefanikiwaje kuiharibu historia yetu mpaka leo?
Chakushangaza Watu wenye asili ya uchina, nazungumzia wachina wenyewe, (wakorea, Japan, Philippines) Wahindi etc. Wana historia yao na dini zao, hata vitabu vya dini hawapo kwenye uhusika.
Naona kabisa kuna kitu hakipo sawa hapa Jamani what we use to worship before ukristo na uislamu?
Ukristo: Ukristo uliingia Afrika katika karne ya kwanza AD, hasa kupitia uenezaji wa dini hiyo na wamisionari wa mapema. Kwa mfano, Ukristo ulifikia Misri karibu na mwisho wa karne ya kwanza, na kuanzia hapo ukasambaa kwa kasi katika eneo la Afrika Kaskazini. Katika Afrika Mashariki, kama Tanzania, Ukristo ulianzishwa na wamisionari wa Shirika la Mt. Agostino kutoka Ureno walioongozana na Vasco da Gama mwaka 1499 hadi Zanzibar
Uislamu: Uislamu uliingia Afrika Magharibi kupitia misafara ya wafanyabiashara tangu karne ya 8 AD kutoka Bara Arab, India, Asia na Ghuba kuja Pwani ya Afrika Mashariki. Kufikia karne ya 9 AD, Uislamu ulikuwa umeenea zaidi katika eneo hilo, hasa kupitia biashara na uanzishwaji wa himaya. Kwa upande wa Afrika Mashariki, ushahidi wa uwepo wa awali wa Uislamu ni uanzishwaji wa misikiti katika kisiwa cha Shanga na Pate kwenye machimbo ya dhahabu, fedha na shaba ambapo sarafu zake ziliokotwa zenye tarehe za kuanzia 830 AD
Uko before Christ ilikuwaje jaman?