Sisi Waafrika historia yetu iko wapo kabla ya ujio wa Wamisionari na Waarabu?

Sisi Waafrika historia yetu iko wapo kabla ya ujio wa Wamisionari na Waarabu?

Waafrika hawajaandika historia yao ya kale
 
Kutokana na ujinga au kutokufahamu walikuwa wakiabudu mizimu ..na hao wajinga bado wapo mpaka sasa
unaweza ukute ww ndo mjinga kwa kufuata tamaduni za watu weupe.

mi naamini babu zetu hawakua wajinga kiasi hicho
 
1.Mzungu ameku-brain wash na kuamini kuwa hatuna hiatoria kama waafrica.

Sijui elimu yako lakini nafikiri kama umesoma kidogo walau kufikia advanced level (form 5 & 6)

Ukweli huu umewekwa wazi kidogo.

Katika view ya African history, mtazamo wa AFRO-CENTRIC VIEW umeweka wazi kuwa tulikuwa na vitu vyetu hata kabla ya mzungu/mwarabu kuja Africa.

Tulikuwa na empires strong kabisa, mfano MALI EMPIRE chini ya MANSA KAN KAN MUSA ilikuwa ni kuogopwa kabisa.

Na mpaka sasa rekodi ya mtu tajiri zaidi kuwahi kutokea duniani inashikiliwa na mtu mweusi ambaye ni MANSA NKAN NKAN MUSA ukiachana na Suleiman wa biblia ambaye hakuna ushahidi kuwa alikuwa tajiri kweli.

Tulikuwa na vyuo vikuu kabla hata mzungu kuja, mfano TIMBUKTU UNIVERSITY, ELEXANDRIA UNIVERSITY (MISRI) ambalo hadi mwanafalsapha wa kigiriki PLATO aliwahi kusoma pale.

Alafu nani alikudanganya kuwa Adam na Hawa walikuwa Wazungu au weupe ?

Nani amekudanganya kuwa Yesu alikuwa mweupe ?

Simoni mkirene wa kwenye biblia aliyemsaidia Yesu kubeba msalaba kipindi cha kusulubiwa mbona alikuwa mweusi ?

Ushahidi wote wa kisayansi unaonesha kuwa binadamu wa kwanza alikuwa mweusi, mafuvu yote ya binadamu wa kale zaidi yamegunduliwa Africa kwenye nchi kama Tanzani, ethiopia, sudan,zimbabwe, south africa n.k

Hakuna cha ulaya, asia wala america.


Mleta maada una matatizo makuu mawili ambayo ni :

1. Hujui historia ya africa kwa undani, na hii ni kwa sababu ya utandawazi na kupendelea uzungu labda.

2.Akili yako imekuwa brain washed kabisa na Mzungu na kukufanya uamini uwongo wao.

Na ndiyo maana unaamini kila waliotajwa kwenye biblia walikuwa na ngozi nyeupe/mzungu.

HIstoria inaonesha hata sisi africa.tulikuwa na dini kabla ya mzungu kuleta yake, na ushahidi unaonesha kule ETHIOPIA tulikuwa na makanisa hata kabla ya mzungu au mwarabu kuleta dini yake.

Mzungu akiwa anachora picha ya malaika huonesha kwa picha yake ya kizungu (mweupe pee kama yeye mzungu) ila akiwa anachora picha ya shetani anamchora akiwa mweusi amechomeka kama gogo la mkaa (yaani anafanana na sisi wa africa), then na wewe kwa uwongo huo ukaamini shetani ni mweusi alafu ndiyo weupe.

Kuna rais mmoja wa misri (ABEID NASSER) aliwahi kuwaambia wayahudi kuwa "hamuwezi kuishi kwa amani hapa (israel) kwa sababu mllondoka hapa mkiwa weusi na mmerudi mkiwa weupe"

Hapa alimaanisha kwamba hata wayahudi halisi waliokuwa wakiishi hapo Israel walikuwa ni weusi, imekuwaje hawa wamerudi waupe (wazungu) kama siyo tu wakoloni ?
Mbona unazungumzia mambo ya kwenye movie mzee weka hoja ijisimamie yenyew sasa mambo ya yesu kusaidiwa msalaba na mtu mweusi wew ulisoma wapi au uliona wapi kama sio kwenye ile movie ya jesus au The bible
Embu tuache kuficha ficha mambo tuwe wa wazi kama kitu hatukijui basi tukubali ya kwamba hatujui
Ila kwa habari ya MANSA KAN KAN MUSSA
hiyo imenyooka historia zipo
Lakin maswala ya vyuo sina uhakika labda niingie chimbo nikatafute.
 
Si kwamba kuna ulazima wa waafrika kutajwa na vitabu vya watu weupe, bali hizo hadithi za biblia&quran ni maisha na tamaduni za jamii ktk eneo fulani na si dunia nzima, elewa hapa, dini ni utamaduni na njia ya utawala wa siasa ya kiimani katika eneo fulani na si dunia nzima.

Sasa ikawaje hizi imani mbili zikatoka kuongelea tamaduni za maeneo yao na kuinclude dunia nzima?

Jibu [emoji117] pale watu weupe wazungu&waarabu walipoanza kutanua ushawishi na utawala duniani walitumia sheria zao, tamaduni zao na ushawishi wao kueneza sifa zao kwa jamii za mbali ili iwe rahisi wao kuaminika, pia kuteka akili na imani za watu wasiofuata tamaduni zao kwa kuwaaminisha tamaduni zao na background ya jamii zao ndio bora zaidi.

Ukristo kabla ya kuja Afrika haukuwa huu ukristo wa leo, bali ilikuwa imani ya umizimu ya wagiriki ambapo nao imani yao waliupdate kuja kwa warumi ambao nao waliupdate hiyo imani kwa kuleta imani mpya ya ukatolic ambayo imani hii waliupdate ili iendane na mazingira ya kila jamii na kila tamaduni kwa kuhusianisha na stories za kale za kila jamii,

Mfano kila jamii hapa duniani inaamini kuna mkombozi fulani aliyekuwepo duniani na alizaliwa bila baba na alifanya miujiza mingi pia alikuwa na sifa za nusu uungu/umizimu/nusu uungu storie hii ipo kwanzia kwa wahindi, wachina, waarabu, wazungu, mpaka Misri (Afrika) ipo storie ya aina hii hii inayofanana na kila jamii hapa dunian,

Hivyo basi baada ya warumi kuusoma huu mchezo walikusanya storie hii kutoka kwa kila jamii na kuunda stori moja ya huyo mkombozi Mungu mtu na kumuunda kiumbe mmoja ambaye wakamfananisha na jamii yao, muonekano wa jamii yao na kumpa umiliki wa majina na storie za jamii yao na ndipo wakaunda ukamilifu wa hiyo storie ya Yeshua/Jesus/Yesu ambayo story hii kila jamii kwakua ina background ya masimulizi ya uwepo wa mkombozi mwenye kufanania na stories za huyu Yesu basi jamii zinaconclude na kuamini kuwa mkombozi huyo ndiye huyo Yesu/jesus.

Na hata Afrika stories za mkombozi zipo nyingi sana ambazo nyingi zimebase katika imani za misri ya zama za kale za watu weusi,

Sasa baada ya warumi/wakatolic kuunda hiyo story kamili ya yesu ambayo ni mkusanyiko wa masimulizi kutoka kila jamii hapa dunian basi walipachika hiyo storie katika vitabu mbalimbali vya dini yao pia hata katika dini yao ya mwisho ya uislam nako huko kuna hii story.

Kiufupi tu wazungu walituwin kwa kukusanya mazuri ya hadithi zao na kutuaminisha kuwa hao wahusika wa hizo stories walikuwa watu wa jamii zao na maeneo yao kumbe si kweli.

Ukitaka kujua uongo wa hizi dini jiulize kama sisi waafrika tumetoka ktk uzao wa Adamu je ilikuwajekuwaje mtu mweupe amzae mtu mweusi? Yaani huyo Nuhu baba wa races mbalimbali duniani ambaye ni mzungu azae mtu mweusi inawezekanaje?? Hii hata kwa muujiza wala bahati mbaya haliwezekani maana mtu mweusi na mweupe ni viumbe tofauti kabisa kuanzia kibaolojia mpaka kiutu na kiungu hawa ni viumbe wawili tofauti (hili jambo hutawai sikia kutoka kwa wachungaji/mashekhe).

Kiufupi tu biblia&quran si vitabu vitakatifu wala si vitabu vya kihistoria bali ni vitabu vya kihuni vilivyotungwa kwa kuungaunga stories na kuibaiba mafundisho ya imani za jamii mbalimbali na kuyaunganisha pamoja na kuunda UONGO MTAKATIFU uku uongo huo wakiuvuvia na nguvu za Kimizimu ambazo ndizo hizo hutumika katika ibada na swala, pia miujiza feki na hisia za kujiona mwema na kuipenda imani hiyo.

Jiulize, kihistoria dunia ina maelfu ya miaka na jamii mbalimbali zimekuwepo kwa maelfu ya miaka je kwanini quran+bible matukio yao hayazidi miaka 7000 pekee? Je kwanini matukio yaliyokuwepo miaka 50,000 hayatajwi na hivyo vitabu? Jibu ni moja tu hao waanzilishi wa hizo dini waliiba storie zoote zilizotokea miaka maelfu kabla yao na kuunda stories za dini zao.

Uhalisia uko hivi, mtu mweusi ndie kiumbe pekee aliyeishi miaka maelfu kwa maelfu kabla ya ujio wa anguko la hawa aliens watu weupe, lakini maajabu historia na vitabu vya dini havielezi haya mambo ili kuficha uovu wao.

Hawa aliens(watu weupe) ndio chimbuko la maovu na ushenzi mkubwa sana hapa duniani maana kabla ya ujio wao dunia ilikuwa sehemu salama na takatifu, ukweli wa mambo baada ya Dunia kuwa chini ya utawala wa Baba wa hawa Aliens(SHETANI) vitabu vyenu vya dini vinamuita MUNGU huyu jamaa kupitia watoto wake watu weupe kaupindua ulimwengu juu chini, chini juu, yaani kila kitu hapa duniani ni uongo, kuanzia Elimu,siasa,history, uchumi na kila kitu ni uongo mtupu tunaishi ktk uongo mkubwa.

Bahati mbaya waafrika wavivu wa kusoma na kufuatilia mambo wanaishia kubishabisha viti wasivyovijua kwa kujihisi kila wanaloliamini na kulijua ndilo sahihi kumbe si kweli

Bahati nzuri haya mambo yanajulikana tayari na wengi wameshajua dunia iko vipi ndiomaana wajanja tulishaachana na hizo takataka za kidini, na kwa Uhuru huu wa mitandao ya kijamii tutegemee jamii ya watu weusi kupata habari ambazo kiuhalisia si rahisi kuzipata na mengi yameshaanza kujulikana
Ni ngumu kumuamini muafrika mwenzako basi amini hata haya maneno ya hawa watu wazito duniani ambao wanaijua dunia zaidi ya ninyi wajinga wachache mnaopenda kubisha kila jambo.

[emoji117]Pitia hizo links kwa muda wako ewe kiumbe mjuaji na mbishi[emoji116]


View: https://vm.tiktok.com/ZMMEyGBs1/

View: https://vm.tiktok.com/ZMMEyPWja/




Wake up guys

kunasiku nilijalbu kuonyesha msimamo wangu kuhusu hizo dini. mama alinikasilikia sana. yani alikuja kwangu alafu wakati wakula nikakataa kuombea chakula dah.! akamaindi😂
 
Africa Tradition was wiped away and Africans were taught to believe that anything tradition means Evil.

Biblia na Quran ni takataka tu.

Waafrika wanapaswa kuachana na hekaya hizi zisizo na kichwa wala miguu.

Ni muda wa waafrika kuamka.
Watakuelewa sasa ,Wagalatia hawa waliologwa
 
Africa Tradition was wiped away and Africans were taught to believe that anything tradition means Evil.

Biblia na Quran ni takataka tu.

Waafrika wanapaswa kuachana na hekaya hizi zisizo na kichwa wala miguu.

Ni muda wa waafrika kuamka.
Mda huo unaongea kingereza , mzungu ndio kafanya wewe unajiona unajua kumbe kichwani hamna kitu .

Hakuna historia ya mwafrika ila alibadilika kutokana na mazingira.
 
Mda huo unaongea kingereza , mzungu ndio kafanya wewe unajiona unajua kumbe kichwani hamna kitu .
Kingereza ni lugha na hakina uhusiano wowote wa kujua au kutokujua.

Kuna wazungu wengi hawajui na kuna waafrika wengi wanajua.
Hakuna historia ya mwafrika ila alibadilika kutokana na mazingira.
Hakuna kitu kisichokuwa na Historia.
 
Tatizo lenu mnapokea maelezo yasiyo sahihi. Historia ya kweli Mwanadamu utaipata kwenye Biblia. Mwafrika ndio mtu wa kwanza kuendelea. Ndie wa kwanza kuanzisha Himaya au Taifa. Unaposoma habari za Misri na Kushi kwenye Biblia hao ndio waafrika. Wanadamu walianzia Mashariki ya kati wakatawanyika. Misri ndio ilijuwabkitovu cha Maendeleo enzi na enzi. Hivyo, ukitaka Historia ya Mwafrika na Teknolojia yake soma historia ya Misri. Hawa Wamisri wa sasa sio wa asili. Hao ni waarabu walikuja wakawasukumia mbali waafrika.
 
Je huyo methiopia aliubiliwa na nani? na alibatizwa na nani?
Kwa vyovyote mzungu alimbadilisha kwenye kitu ambacho yeye na jamii yake iliamini. Swali linarudi pale pale sisi waafrika historia yetu iko wapi
Injili ilianzia Israel ikaenda Asia minor na Afrika. Wazungu walikuwapagani wabaya kuliko waafrika. Kilichowasaidia wazungu nibkwamba baada ya kuliamini Neno la Mungu waliamua kuliishi na ndilo liliwabadilisha na kupata maendeleo. Sisi hatutaki kuliishi Neno la Mungu bado tunachanganya uchawi na ushirikina. Hatutaendelea kwa namna hiyo.
 
Back
Top Bottom