Sisi Waafrika historia yetu iko wapo kabla ya ujio wa Wamisionari na Waarabu?

Waafrika hawajaandika historia yao ya kale
 
Kutokana na ujinga au kutokufahamu walikuwa wakiabudu mizimu ..na hao wajinga bado wapo mpaka sasa
unaweza ukute ww ndo mjinga kwa kufuata tamaduni za watu weupe.

mi naamini babu zetu hawakua wajinga kiasi hicho
 
Mbona unazungumzia mambo ya kwenye movie mzee weka hoja ijisimamie yenyew sasa mambo ya yesu kusaidiwa msalaba na mtu mweusi wew ulisoma wapi au uliona wapi kama sio kwenye ile movie ya jesus au The bible
Embu tuache kuficha ficha mambo tuwe wa wazi kama kitu hatukijui basi tukubali ya kwamba hatujui
Ila kwa habari ya MANSA KAN KAN MUSSA
hiyo imenyooka historia zipo
Lakin maswala ya vyuo sina uhakika labda niingie chimbo nikatafute.
 

kunasiku nilijalbu kuonyesha msimamo wangu kuhusu hizo dini. mama alinikasilikia sana. yani alikuja kwangu alafu wakati wakula nikakataa kuombea chakula dah.! akamaindišŸ˜‚
 
Africa Tradition was wiped away and Africans were taught to believe that anything tradition means Evil.

Biblia na Quran ni takataka tu.

Waafrika wanapaswa kuachana na hekaya hizi zisizo na kichwa wala miguu.

Ni muda wa waafrika kuamka.
Watakuelewa sasa ,Wagalatia hawa waliologwa
 
Africa Tradition was wiped away and Africans were taught to believe that anything tradition means Evil.

Biblia na Quran ni takataka tu.

Waafrika wanapaswa kuachana na hekaya hizi zisizo na kichwa wala miguu.

Ni muda wa waafrika kuamka.
Mda huo unaongea kingereza , mzungu ndio kafanya wewe unajiona unajua kumbe kichwani hamna kitu .

Hakuna historia ya mwafrika ila alibadilika kutokana na mazingira.
 
Mda huo unaongea kingereza , mzungu ndio kafanya wewe unajiona unajua kumbe kichwani hamna kitu .
Kingereza ni lugha na hakina uhusiano wowote wa kujua au kutokujua.

Kuna wazungu wengi hawajui na kuna waafrika wengi wanajua.
Hakuna historia ya mwafrika ila alibadilika kutokana na mazingira.
Hakuna kitu kisichokuwa na Historia.
 
Tatizo lenu mnapokea maelezo yasiyo sahihi. Historia ya kweli Mwanadamu utaipata kwenye Biblia. Mwafrika ndio mtu wa kwanza kuendelea. Ndie wa kwanza kuanzisha Himaya au Taifa. Unaposoma habari za Misri na Kushi kwenye Biblia hao ndio waafrika. Wanadamu walianzia Mashariki ya kati wakatawanyika. Misri ndio ilijuwabkitovu cha Maendeleo enzi na enzi. Hivyo, ukitaka Historia ya Mwafrika na Teknolojia yake soma historia ya Misri. Hawa Wamisri wa sasa sio wa asili. Hao ni waarabu walikuja wakawasukumia mbali waafrika.
 
Je huyo methiopia aliubiliwa na nani? na alibatizwa na nani?
Kwa vyovyote mzungu alimbadilisha kwenye kitu ambacho yeye na jamii yake iliamini. Swali linarudi pale pale sisi waafrika historia yetu iko wapi
Injili ilianzia Israel ikaenda Asia minor na Afrika. Wazungu walikuwapagani wabaya kuliko waafrika. Kilichowasaidia wazungu nibkwamba baada ya kuliamini Neno la Mungu waliamua kuliishi na ndilo liliwabadilisha na kupata maendeleo. Sisi hatutaki kuliishi Neno la Mungu bado tunachanganya uchawi na ushirikina. Hatutaendelea kwa namna hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…