ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Asalam Alyekum..
Naona wameibuka mashehe ubwabwa wanaotumiwa ili kujaribu kupinga dhuruma na mauaji ya Raia
TEC walimtoa tamko la kisomi kabisa
Hawa mashehe badala wawajibu wao wanapandikiza chuki
Hivi hii Taasisi ya BAKWATA inayoshindwa kuweka mawakili kuwatetea mashehe wanaosota gerezani zaidi ya miaka 10 mahabusu, wanaweza kutetea haki
BAKWATA njoo na tamko lenu mkisema
1. Uchaguzi ulikuwa huru na haki
2.Rais Samia alishinda Kwa haki Kwa kupata kura 31M na sawa na 98%
3. Semeni wazi kuwa hamjahuzunishwa na vifo vya Watanganyika zaidi ya 10k
4. Semeni wazi kuwa Mali ni zaidi ya maisha ya binadamu
5 semeni wazi kuwa ni sawa Samia kuuwa Watanganyika
6. Sema wazi kama watu hawakuuliwa
7. Miwili ya Watanganyika Iko wapi
8. Sema wazi kuwa serikali ikifanya ufisadi, rushwa, utekaji na mauaji haya yote yasipingwe ili tuwe na amani
Allah anasisitiza haki kwenye Quran
Qur'ani: Surah Al-Ma'idah 5:32
"Kwa sababu hiyo, tulipowapa Waisraeli sheria, kuwa atakayeuwa nafsi kwa kuua bila ya kuwa na sababu ya kisheria au kwa sababu ya ufisadi katika ardhi, basi ni kama ameuwa watu wote. Na atakayehifadhi maisha ya mtu, basi ni kama ameuhifadhi ulimwengu mzima."