Jana kwenye mkesha wa krismasi hapa kwetu wilayani Rombo tulikuwa bize na mkesha wa krismasi moja ya vitu ukiachana na mkesha huo wa krismasi tulikuwa tunamuombea Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan kusema ukweli Rais samia sisi huku wachaga wakatoliki pure
Tunakupenda na tutaendelea kukupenda endelea kuleta maendeleo,mshikamano.
Mkunga wa jadi,
Kwasasa Useri Rombo, Kilimanjaro