kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
No atakuta ya ngamiaUsijeukamlisha Nyama Ya Mudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No atakuta ya ngamiaUsijeukamlisha Nyama Ya Mudi
Huenda huo mtaa wenu Waislam wana hela kuliko nyieKwema wakuu?
Tuseme ukweli tu sisi wakristo kwenye sikukuu zetu ni wachoyo sana ukilinganisha na waislamu.
Mfano hapa mtaani kwetu ninapoishi, tunaishi watu wa dini tofauti lakini dini zilizotawala ni Islam na Christian.
Sasa bana sisi wakristo kwenye sikukuu zetu huwa kila mtu kajifungia getini kwake na familia yake, ila kiukweli hawa wenzetu waislamu wakiwa na sikukuu zao au hata shughuli zao tu za kifamilia ebana mtaa mzima mtakula na mtasaza chakula.
Mfano last year ilikua Eid sijui ile yani hapa mtaani ilikuwa unabembelezewa mualiko, ila sisi wakristo sasa hatuna huo ukarimu.
Tubadilike jamani.
Waislamu dini yao inawahusia kuwatendea watu wema, na majirani na wapita njia pia, wakristo wao kinyume chakeKwema wakuu?
Tuseme ukweli tu sisi wakristo kwenye sikukuu zetu ni wachoyo sana ukilinganisha na waislamu.
Mfano hapa mtaani kwetu ninapoishi, tunaishi watu wa dini tofauti lakini dini zilizotawala ni Islam na Christian.
Sasa bana sisi wakristo kwenye sikukuu zetu huwa kila mtu kajifungia getini kwake na familia yake, ila kiukweli hawa wenzetu waislamu wakiwa na sikukuu zao au hata shughuli zao tu za kifamilia ebana mtaa mzima mtakula na mtasaza chakula.
Mfano last year ilikua Eid sijui ile yani hapa mtaani ilikuwa unabembelezewa mualiko, ila sisi wakristo sasa hatuna huo ukarimu.
Tubadilike jamani.
Nyie Ni wachoyo haswaa,Umesahau kwamba wenzetu pilau inapikwa siku ya sikukuu tu...alisikika mlevi fulani hivi
Sisi sikukuu hata ugali tunakula
Sasa hapo nini kimekuchekesha Hadi umeweka vi-emoj, ushoga huo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna matusi ya kiutu uzima sana
Sana tena tunaroho ya kibaguziKwema wakuu?
Tuseme ukweli tu sisi wakristo kwenye sikukuu zetu ni wachoyo sana ukilinganisha na waislamu.
Mfano hapa mtaani kwetu ninapoishi, tunaishi watu wa dini tofauti lakini dini zilizotawala ni Islam na Christian.
Sasa bana sisi wakristo kwenye sikukuu zetu huwa kila mtu kajifungia getini kwake na familia yake, ila kiukweli hawa wenzetu waislamu wakiwa na sikukuu zao au hata shughuli zao tu za kifamilia ebana mtaa mzima mtakula na mtasaza chakula.
Mfano last year ilikua Eid sijui ile yani hapa mtaani ilikuwa unabembelezewa mualiko, ila sisi wakristo sasa hatuna huo ukarimu.
Tubadilike jamani.
Sitaki maneno kwa niaba ya hao karibuni kwangu.Kwema wakuu?
Tuseme ukweli tu sisi wakristo kwenye sikukuu zetu ni wachoyo sana ukilinganisha na waislamu.
Mfano hapa mtaani kwetu ninapoishi, tunaishi watu wa dini tofauti lakini dini zilizotawala ni Islam na Christian.
Sasa bana sisi wakristo kwenye sikukuu zetu huwa kila mtu kajifungia getini kwake na familia yake, ila kiukweli hawa wenzetu waislamu wakiwa na sikukuu zao au hata shughuli zao tu za kifamilia ebana mtaa mzima mtakula na mtasaza chakula.
Mfano last year ilikua Eid sijui ile yani hapa mtaani ilikuwa unabembelezewa mualiko, ila sisi wakristo sasa hatuna huo ukarimu.
Tubadilike jamani.
Karibu tujumuike mrembo.Bora umeliona hili[emoji2312]
Tafuta hela uache kuwaza pilau za idd.Kwema wakuu?
Tuseme ukweli tu sisi wakristo kwenye sikukuu zetu ni wachoyo sana ukilinganisha na waislamu.
Mfano hapa mtaani kwetu ninapoishi, tunaishi watu wa dini tofauti lakini dini zilizotawala ni Islam na Christian.
Sasa bana sisi wakristo kwenye sikukuu zetu huwa kila mtu kajifungia getini kwake na familia yake, ila kiukweli hawa wenzetu waislamu wakiwa na sikukuu zao au hata shughuli zao tu za kifamilia ebana mtaa mzima mtakula na mtasaza chakula.
Mfano last year ilikua Eid sijui ile yani hapa mtaani ilikuwa unabembelezewa mualiko, ila sisi wakristo sasa hatuna huo ukarimu.
Tubadilike jamani.
Kwema wakuu?

Sisi wakristo hatushobokii vyakula hao upande wa pili wameweka vyakula mbelee ndio tatizo, sisi wakristo tunapika sana tu but hatupendi kuongelea vyakulaKuna dini fulani ni walafi sana, mbona hata sisi huwa tunafunga ila kelele za vyakula hutasikia.
Acha unafiki wewe ni muislam, coz sisi wakristo hatunaga mda kujadili chakula nikupe tu hiloSijafungama na upande wowote...
Nyinyi kwani ni wote mnafunga funga yenyewe mnaawaachia wanaofanya kazi makanisani na wazee ila waislam 80% wanafunga halafu mnafungaje huku mnatembea nusu uchi yaani nyie dini yenu kweli ina maajabu vijana wa ki kristo hamfungi kabisa mnaponda mali tu halafu mnataka na nyinyi mtambulike mnafunga.Kuna dini fulani ni walafi sana, mbona hata sisi huwa tunafunga ila kelele za vyakula hutasikia.
Nimelala tu sina jipya...labda nikukaribishe tulale...kuna kimvua
Ngamia Ndiyo YenyeweNo atakuta ya ngamia
😆😆😅😅😅🤣🤣😁😁😄😄😃😃Mlale?Nimelala tu sina jipya...labda nikukaribishe tulale...kuna kimvua