Sisi Wakristo huwa ni wachoyo sana kwenye sikukuu zetu ukilinganisha na Waislamu

Huenda huo mtaa wenu Waislam wana hela kuliko nyie
 
Waislamu dini yao inawahusia kuwatendea watu wema, na majirani na wapita njia pia, wakristo wao kinyume chake
 
Sana tena tunaroho ya kibaguzi
 
Sitaki maneno kwa niaba ya hao karibuni kwangu.
 
Tafuta hela uache kuwaza pilau za idd.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Miaka ya nyuma nyuma

Wakati wa kufuturu watu walikuwa

Wanalia vibarazani,sahv je ??

Maisha yamebadilika kila mtu aubebe

Mzigo wake mwenyewe

Ova
 

Soma huu uzi na michango yote iliyomo

 
Wewe ni muislam acha kudanganya watu, pili sisi wakristo hatushoboki sana vyakula na ndio maana hata kufunga kwetu hukuti watu wakisemasema vyakula kama nyie upande wenu muslims, na ukitaka kula gonga mlango wa mkristo yoyote nakuhakikishia utakula mbaka utasaza coz vyakula sio kipaumbele katka ukristo wewe fanya utafiti au tembelea uone mavyakula ya kumwaga ila hawatangazi
 
Kuna dini fulani ni walafi sana, mbona hata sisi huwa tunafunga ila kelele za vyakula hutasikia.
Sisi wakristo hatushobokii vyakula hao upande wa pili wameweka vyakula mbelee ndio tatizo, sisi wakristo tunapika sana tu but hatupendi kuongelea vyakula
 
Kuna dini fulani ni walafi sana, mbona hata sisi huwa tunafunga ila kelele za vyakula hutasikia.
Nyinyi kwani ni wote mnafunga funga yenyewe mnaawaachia wanaofanya kazi makanisani na wazee ila waislam 80% wanafunga halafu mnafungaje huku mnatembea nusu uchi yaani nyie dini yenu kweli ina maajabu vijana wa ki kristo hamfungi kabisa mnaponda mali tu halafu mnataka na nyinyi mtambulike mnafunga.
 
Nimelala tu sina jipya...labda nikukaribishe tulale...kuna kimvua
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒMlale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…