KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Katika siku za hivi karibuni kuna uongezeko wa watoto wakike na sababu kubwa ni sisi wanaume kwa kutokuwa makini sana!
Moja ya tatizo ni kutokuwa waaminifu katika ndoa kitendendo kinacho sababisha kuwa na mbegu hafifu kstiks mfumo wa uzazi!Kifupi kwakuwa tunatumika sana na kusababisha kuwa na uwezo mdogo wa mbegu zenye shibe za kuweza kupata mtoto wa kiume!
Pili ni kazi nyingi hii hasa ikichangiwa na ugumu wa maisha!
Tatu ni kwasababu tumekuwa tunaendekeza vinywaji!Mpaka unaporundi nyumbani kwako ushakunywa pombe sirahisi kupata mtoto wa kike matokeo yake utaishia kuwa na watoto wa kike!
Hivyo tukae na familia zetu tupange wakati wakuhitaji mtoto tujizuie na vitu hivi ,Pombe, michepuko ya nje, kazi nyingi na misongo ya mawazo!Angalau kwa miezi miwili.
Matokeo yake tutapata watoto wa kiume pia kwa kuzingatia mzunguko wa siku za mwanamke.