Sisi wanaume ndiyo tumesababisha wanawake kuongezeka

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Katika siku za hivi karibuni kuna uongezeko wa watoto wakike na sababu kubwa ni sisi wanaume kwa kutokuwa makini sana!

Moja ya tatizo ni kutokuwa waaminifu katika ndoa kitendendo kinacho sababisha kuwa na mbegu hafifu kstiks mfumo wa uzazi!Kifupi kwakuwa tunatumika sana na kusababisha kuwa na uwezo mdogo wa mbegu zenye shibe za kuweza kupata mtoto wa kiume!

Pili ni kazi nyingi hii hasa ikichangiwa na ugumu wa maisha!

Tatu ni kwasababu tumekuwa tunaendekeza vinywaji!Mpaka unaporundi nyumbani kwako ushakunywa pombe sirahisi kupata mtoto wa kike matokeo yake utaishia kuwa na watoto wa kike!

Hivyo tukae na familia zetu tupange wakati wakuhitaji mtoto tujizuie na vitu hivi ,Pombe, michepuko ya nje, kazi nyingi na misongo ya mawazo!Angalau kwa miezi miwili.

Matokeo yake tutapata watoto wa kiume pia kwa kuzingatia mzunguko wa siku za mwanamke.
 
Mkuu kuna sehemu umekosea kidogo , jaribu kuedit ili isilete kamkanyiko.
 
Women make the world go round bro. Acha tu watuzidi. Hata hivyo, umethibitisha vipi kuwa watoto wa kike ni wengi kuliko wa kiume, na hiyo hali ni ya siku za karibuni tu, au toka zamani?

Na hasara ya wao kuwa wengi ni ipi?
 
Swala wanazaliwa wengi ili waliwe na Simba.
Ulitaka wanaume tuwe wengi ili iweje?
Wanawake wawe wengi waipambe dunia, na sisi tupate chakula.
Hii ni Ecosystem.
 
Bila mwanamke ungezaliwa? kama mungu hajakupa mtoto wa kiume hajakupa tuu mie nna madume 6 ndani ya nyumba
mtoto wa kike ndio nime pata hivi karibuni namuona kama Almasi, haijakhusu mkao wala sijui nini mwenyezi mungu akikujaalia
utampata,shemeji yangu ana watoto wa 5 wote wa kike halewi haviti sigara na chakula chake husikii kala chips kuku sijui corn flakes...
 
nyakati za mwisho wanawake saba wata... ayaaaaaa nimesahau
 
ngoja chipsi yai na novida waje utaona majibu yao washazoea nyagi,Viagra,supu ya pweza kubust mkuu
 
Ina maana hata huyo aliyekuzaa wewe ni zao la mbegu hafifu....??
mkuu angalia vizuri uzi wako, hapo umetukana mama zako, shangazi zako, dada zako, bibi zako, etc
ina maana michepuko ina sababisha watoto wa kike...?

Katika siku za hivi karibuni kuna uongezeko wa watoto wakike na sababu kubwa ni sisi wanaume kwa kutokuwa makini sana!

Moja ya tatizo ni kutokuwa waaminifu katika ndoa kitendendo kinacho sababisha kuwa na mbegu hafifu kstiks mfumo wa uzazi!Kifupi kwakuwa tunatumika sana na kusababisha kuwa na uwezo mdogo wa mbegu zenye shibe za kuweza kupata mtoto wa kiume!

Pili ni kazi nyingi hii hasa ikichangiwa na ugumu wa maisha!

Tatu ni kwasababu tumekuwa tunaendekeza vinywaji!Mpaka unaporundi nyumbani kwako ushakunywa pombe sirahisi kupata mtoto wa kike matokeo yake utaishia kuwa na watoto wa kike!

Hivyo tukae na familia zetu tupange wakati wakuhitaji mtoto tujizuie na vitu hivi ,Pombe, michepuko ya nje, kazi nyingi na misongo ya mawazo!Angalau kwa miezi miwili.

Matokeo yake tutapata watoto wa kiume pia kwa kuzingatia mzunguko wa siku za mwanamke.
 
Heee ndio nasikia kwako kwamba Mbegu za mtoto wa kiume inabidi ume na strong sperm
 
Ndio maana uislamu unaruhusu mke zaidi ya mmoja, ilitabiriwa tangu zamani hiyo. Toroka mje kama huko mmebanwa.
 
ukweli upo kwa baadhi ya point zako kama
-ili uweze kupata mtoto wa kiume lazima uwe na sperm zenye afya nzuri
-hili la kupata watoto wa kike linaweza likatokea hata kama utazingatia mzunguko wa mkeo hili ni kutokana na kua na sperm Y ambazo huzidiwa nguvu na X
 
Hizo premise za namna hiyo ndo kitaaa tulikuwa tunasema
1. Ukiona mmepata mtoto wa kiume basi siku ya mechi alishinda mshua.
2. Ukiona umepata mtoto wa kike basi dingi aliuza mechi kwa mpinzani wake (maza)
3.Ukiona wamepatikana mapacha wa jinsi ya ME &KE basi hapo ngoma ilikuwa droo.
4. Ukiona mapacha wa kiume watupu basi dingi alikamia gemu ile mbaya kama yanga na simba
5. Ukiona mapacha wa kike watupu basi dingi alikuwa usingizini wakati wa mechi.

sio lazima uamini hivyo, ila zamani tuliamini hivyo.
 
Katika siku za hivi karibuni kuna uongezeko wa watoto wakike na sababu kubwa ni sisi wanaume kwa kutokuwa makini sana!

Moja ya tatizo ni kutokuwa waaminifu katika ndoa kitendendo kinacho sababisha kuwa na mbegu hafifu kstiks mfumo wa uzazi!Kifupi kwakuwa tunatumika sana na kusababisha kuwa na uwezo mdogo wa mbegu zenye shibe za kuweza kupata mtoto wa kiume!

Pili ni kazi nyingi hii hasa ikichangiwa na ugumu wa maisha!

Tatu ni kwasababu tumekuwa tunaendekeza vinywaji!Mpaka unaporundi nyumbani kwako ushakunywa pombe sirahisi kupata mtoto wa kike matokeo yake utaishia kuwa na watoto wa kike!

Hivyo tukae na familia zetu tupange wakati wakuhitaji mtoto tujizuie na vitu hivi ,Pombe, michepuko ya nje, kazi nyingi na misongo ya mawazo!Angalau kwa miezi miwili.

Matokeo yake tutapata watoto wa kiume pia kwa kuzingatia mzunguko wa siku za mwanamke.

Halafu uache mtindo wa kumlalia mkeo.
Mtoto wa kiume analetwa na Doggy style.
Na wenye vibamia wengi hawawezi hii style...kwa hiyo vibamia ndio chanzo cha watoto wa kike.
 
Inapendeza sana Malaika kwa walivyo wengi.

Wao ndio mapambo ujue
 
Back
Top Bottom