Sisi wanaume tutafute hela tununue magari ya hadhi yetu

Sisi wanaume tutafute hela tununue magari ya hadhi yetu

Hivi vitu ni gharama sana inatakiwa tutafute sana pesa mamen tusitegemee kuonewa huruma You now - Lemutuz
 
Kale ka kuitwa ka Paso jamani ukiviangalia vitairi vyake[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Lakini ndo uchumi wetu ulipoanzia tutafanyaje sasa,sio kwamba tunavipenda sana hivyo vi baby worker
 
Edson kha
sasa dada na hivi uko mnene..hako ka vitz hakakufai tena..sasa unapanda kagara na unene huo kanakuwa kama kamebonyea upamde mmoja..mwambie mzee kutafutie walau Xtrail..au harrier wa mama vibonge wanapendeza..vitz,cami,cooper etc sio gari hizo ni vifaa vya kutembelea...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna namna mdogo wangu..
Ule mzigo inabidi tuongeze tupande magari.. tuachane na magari ya kudumbukia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

JF Idumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa dada ile imebaki jero tu[emoji2297][emoji2297]
 
honestly sina gari japokuwa ni kitu kipo katika ratiba zangu za mwaka huu ila nakumbusha ni uduanzi mwanaume kupaki gari katika parking ya mwanaume mwenzio imean kupaki gari katika nyumba ya kupanga labda itokee kwa sababu za kikazi kuwa umepangiwa mkoani kikazi na unapaswa kuishi hukohuko ila hii michongo ya wanaume wa dar kupanga una mke na watoto na gari ni ufala, na kuna mjinga mmoja hapa jirani yangu ana crown alafu amepanga single room ya elfu arobaini, kudadeki nikikwambia mwanaume mwenye akili timamu akianza kazi za udalali ujue kawehuka watu wananiona ninamajungu, any way inshort mwaka huu umekuwa neema kwangu maana nimehamia kwangu na kwa wenye uzoefu wa magari ningependa mnijulishe kati ya foresta XT na Nissan Duals, pamoja athlethe crown ni gari ipi nzuri ya kuanzia maisha kwa sisi ambao ndio tunaanza maisha ya kuendesha gari? nadhani kwa sasa ndio gari ambazo zinanivutia

Sent from my SM-G988N using JamiiForums mobile app
Tafuta hela upunguze kujielezea.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mdogo wangu!!! Tutafikia malengo kweli?

Kila siku mbona Inapunguzwa?
Yaani naona nina nyota ya boda boda hata kudumbukia sitodumbukia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom