Sisi wanaume tutafute hela tununue magari ya hadhi yetu

Sisi wanaume tutafute hela tununue magari ya hadhi yetu

Mwanaume unapata wapi ujasili wa kuomba lift Kwenye IST

Huogopi HATARI ya kupata bawasiri kutokana na kujikunja miguu na magoti MDA mrefu? [emoji4]
Ma nina. Nimecheke kijinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nime kuwa nasikitika sana kuona wanaume wenzangu wananaua tumidori vigari vidogo sana havina nafasi Ist,Vits na ndugu zake wakina passo n.k tupambane tutafute hela tununue BMW V8 PRADO n.k
Ukiwa unatafuta hela alafu ukanunua gari ya hadhi yako tusaidie hiyo hadhi yako ni hadhi ya mtafutaji ?

Au hadhi ya maskini ambaye anadunduliza kutafuta pesa kununua gari mkuu
 
Ukiwa unatafuta hela alafu ukanunua gari ya hadhi yako tusaidie hiyo hadhi yako ni hadhi ya mtafutaji ?

Au hadhi ya maskini ambaye anadunduliza kutafuta pesa kununua gari mkuu
Neno mwanaume tayari ni hadhi
 
Ukiondoa vitz na ndugu zake wote zilobakia kama BMW n.k ndizo gari za mwanaume
Ahaha mkuu mbona wanawake wengi wanazitumia ?

Na wapi imesemwa kwamba hizo ni gari za kiume ?

Je watengenezaji wenyewe ndo wamesema au watumiaji mkuu
 
Back
Top Bottom