Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

Mi kweli mkuu, msongamano wa wanawake toka mkoa ni mkubwa, pia mjini ndo kwenye pesa hivyo kukutana na mataperi ni kawaida, mkoani mtatoa wapi pesa ya kununua hizo dawa kuwavutia waganga?

Nani kakuambia mkoani hakuna hela!? Waganga wamejaa huko sababu mna matatizo sana, hivyo mnahitaji huduma..
 
Hahahahhhahahahhah, sasa me sijui ni wa wapi,? Sababu nimezaliwa mkoani na kukulia mkoani ila maisha yangu nayendesha Dar kwa sasa miaka 12.
Asilimia karibu 90 ya wakazi wa Dar ni kutoka mikoani, sasa mwanaume wa Dar ni yupi!?
we wa dar
 
mi wa mikoani nawapendea hapo tu! lile tendo raha yake unamaliza kitu yooote inauma yaan hata ndg X akikurupuka mafichoni unampa za mbavu. sio unapigwa kimoja cha mashaka unamaliza kama ndo unaanza. wapaka poda majanga
 
Most of you muda wote mnahangaika na mamekup! # hash tag# Lakini! Wenye ubongo wa mende tu povu ruksa! Shhhhh mkojo wako tunauhitaji shit maana most of us huku mikoani aiseee tuko gud na hatuhitaji dawa kuongeza nguvu za kukwich hapo dar muhangaike na vioo tu! Na kujiremba Kama miss wetu mzee wa mwaka Fulani
 
Reactions: Lee
nimeisoma hio tiredi kwa sauti na lafdh ya kichaga yaani ni balaaa
 
Huu Uzi ni kwa *for men only*so stay away.au unawashwawashwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…