Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Haha [emoji23]Anatoka nduki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha [emoji23]Anatoka nduki.
Mi kweli mkuu, msongamano wa wanawake toka mkoa ni mkubwa, pia mjini ndo kwenye pesa hivyo kukutana na mataperi ni kawaida, mkoani mtatoa wapi pesa ya kununua hizo dawa kuwavutia waganga?
Hahahah nadhan ww utakuwa mmojawapo kwenye hio orodha ya wanawake wa darKazi imeanza... Mie niko pembeni hapa damu isijenirukia
AkuHahahah nadhan ww utakuwa mmojawapo kwenye hio orodha ya wanawake wa dar
Hahah kwahiyo unawakilisha ke wa mikoani sioAku
Mie niko Namtumbo huku mkuu
aisee wanyonge!!! mi team mkoanihawa ndo wanaume wa jiji la bhashite
![]()
![]()
we wa darHahahahhhahahahhah, sasa me sijui ni wa wapi,? Sababu nimezaliwa mkoani na kukulia mkoani ila maisha yangu nayendesha Dar kwa sasa miaka 12.
Asilimia karibu 90 ya wakazi wa Dar ni kutoka mikoani, sasa mwanaume wa Dar ni yupi!?
Hapana mkuu, kila mtu apambane na khali yakeHahah kwahiyo unawakilisha ke wa mikoani sio
mi wa mikoani nawapendea hapo tu! lile tendo raha yake unamaliza kitu yooote inauma yaan hata ndg X akikurupuka mafichoni unampa za mbavu. sio unapigwa kimoja cha mashaka unamaliza kama ndo unaanza. wapaka poda majangaKila mmoja anamadhaifu yake
Mwanaume Wa dar yupo romantic, anajua kupetipeti, anajua viwanja, anajua how to make you feel like upo peponi hahaha sijui pepo ya fordaus au IPI, ukija kwenye 6 x 6 ndo majanga unayakuta moja chali. Ingawa wengi (including me) huwa wanapenda hiyo kitu sio kuchoshana mpaka kunakuwa kwekunduuuuu unageuzia feni papate upepo maana sio Kwa umoto ule
Wamikiani mmmh, hawajui beach, hawajui club, hawajui kupetipeti, hata kutembea barabarani hawawezi, ila kwenye uwanja wapo vzr wanaweza kurudia Mara kadhaa mpaka useme basi,
According to me, napenda wanaume Wa dar, hahaaha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kazi imeanza... Mie niko pembeni hapa damu isijenirukia
[emoji83]Magufuli anawaita wanaume wa Mikoani wanyonge! Kila siku anatusumbua huku mjini na kutuita wapiga dili kwa ajili ya unyonge wenu.
Huu Uzi ni kwa *for men only*so stay away.au unawashwawashwa?Kila mmoja anamadhaifu yake