Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

Ni kwa dar pekee vidume vinapakawa huku duniani. Ndio maana vinaandamana kwenye ubalozi wa sauth africa kimya kimya
 
Kumbe ndo maana siku hizi hunitaki!!......na ole wako nikupate,nitakugeuza geuza kama chapati ya mama ntilie!!
 
Hadi kuingiziwa pump inaonesha ni jinsi gani tuna uvumilivu.. Nyie kama juzi wanaume wa Ukonga zaidi ya 300 wanapigwa na askari ambao hawazidi hata 20. Hadi mwanamama Mkuu wa Wilaya anakuja kuwatoa chini ya uvungu..
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Tatizo sio kula papuchi tatizo nijinsi gani unaitendea haki iyo papuchi sio unapiga bao la kuku then unajiona mjanja kwa kuvuliwa nguo skuiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…