Mkipata elimu ya chakula mtagundua kuwa ugali na mchele kuna virutubisho vinavyofanana. So huna haja ya kula ugali mgumu ili uonekane una nguvu maana ugumu wa ugali si kipimo cha nguvu.
Ukifaham mayai yana protein na ukafaham kaz ya protein utaelewa vizuri. Shida ni kuwa mikoani mnakula mara 3 kwa siku wakati sisi huku wakati wote tunakula si mpaka tusikie njaa. Na kula ni starehe.hatuli ili tushibe tu kama mikoani. Tunakula tuki enjoy pia chakula.
Kama ugali mgumu ungekuwa ni chanzo cha nguvu bas dawa za kuongeza nguvu zisingekuwa kwenye form ya maji au powder ambayo unaichanganya na maji au kimiminika unywe.ingekuwa ni ngumu sana kama jiwe ili sasa. Ndo ionekane ina nguvu.
Mikoani ni uelewa ndo tatizo hawajui kuwa samak,maziwa n.k vyote vinapatikana dar ila huwez kula chakula aina moja kila wakati.
Kuwa msafi si udhaifu hilo msichanganye.. Usafi ni jambo la kheri na sisi huku hatuishi kwa kutumia nguvu.tunaishi kwa kutumia akili.ndo maana mjini akili nguvu kijijini. Mbona tunawafaham mkija huku mnauziwa blauz mnaambiwa mashati?
Mnavaa yeboyebo huku miguu yenu imepasuka na kuwa kama kwaruzo. Kwenye kupiga show inajulikana mapema tu wa mkoani huwa wakikuta madada zetu wa town warembo wakigusisha tu wanamwaga....sababu hisia wanazopata ni maradufu.
Wanaokuja dar na kujitambulisha waganga ni hao hao wa mikoani.utasikia mganga toka swanga,toka kigoma,mwanza n.k mjini wanakuja kutafuta pesa na wakikutana na wenzao walokuja huku ndo wanapeana support.sisi wa mjin hatuamin katika hayo madawa. Tumeenda shule... Tunaaamini ni suala la kula vizuri n.k