Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Sasa unategemea huyu ataweza kuuwa hata mende? Achilia mbali kupiga hata dk5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama una kula chips yai wew ni wa dsmHahahahhhahahahhah, sasa me sijui ni wa wapi,? Sababu nimezaliwa mkoani na kukulia mkoani ila maisha yangu nayendesha Dar kwa sasa miaka 12.
Asilimia karibu 90 ya wakazi wa Dar ni kutoka mikoani, sasa mwanaume wa Dar ni yupi!?
Haya mkuuKama una kula chips yai wew ni wa dsm
Kunguru muoga.....Hahaha! Acha woga
Hapohapo wilaya ya rombo inaongoza kwa madent kuachishwa shule kwa kupata ujauzitoMikoani hamna kitu ndio maana ROMBO wanawake waliamua kuvuka boda
Mda wa makonda ukiisha kunywa bia hapo ntapitia kulipaKila mmoja anamadhaifu yake
Mwanaume Wa dar yupo romantic, anajua kupetipeti, anajua viwanja, anajua how to make you feel like upo peponi hahaha sijui pepo ya fordaus au IPI, ukija kwenye 6 x 6 ndo majanga unayakuta moja chali. Ingawa wengi (including me) huwa wanapenda hiyo kitu sio kuchoshana mpaka kunakuwa kwekunduuuuu unageuzia feni papate upepo maana sio Kwa umoto ule
Wamikiani mmmh, hawajui beach, hawajui club, hawajui kupetipeti, hata kutembea barabarani hawawezi, ila kwenye uwanja wapo vzr wanaweza kurudia Mara kadhaa mpaka useme basi,
According to me, napenda wanaume Wa dar, hahaaha
Si kwa sababu nyie vijana wa mikiani skiuz hamlimi tena mmekimbilia pulutebo kazi kushinda barabarani na kuuza viyai mmewaachia babu zenu ndo walime matokeo yake tumejiongezaNilishasema wanaume wa Dar n janga kubwa kwenye 6×6ss mtu anakula mishikaki 2 na wali wa plastis mara utajibust na vipweza, vimihogo na karanga 7 za diamond mtu km huyu n mzembe kuanzia kitandan kazin na kila kona ya utendaji wa kazi kiufupi goigoi[emoji16][emoji23][emoji2]
Na tumefuta viroba tuone nyie vijana wa mikiani mtaishi vipiYoungblood umesha maliza mchezo mkuu
hata siku moja sijawahi kujilaumu kuwaza kuwa una IQ ndefu...Na hizi ndio akili za wanaume wa dar....
Anatoka nduki.Kunguru muoga.....