Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

Wanaume wa dar wana mambo ya kike kike sana

Utawakuja wanasema


Waooooo

Jomon

My gosh

Iv mtoto wa kiume kweli utaongea maneno kama hayo

Wamelaaniwa hawa washenz hawa
 
Aisee..hiyo popo kanyea mbingu na kiokote sijazielewa...hahahaa. Halaf wa mikoani wanaongoza kutangazwa ITV kwenye Jiji Letu kua wamepotea.
 
Wanawake wa Dar ki ukweli wanawapenda mno wanaume wa mikoani.

Sababu ni moja tu,wanaume wa mikoani mashine zao zina nguvu ya kutosha,hivyo huridhishwa na kazi wanayopewa
 
hivi wanaume wa Dar si ndio wale vipilipili=vibamia sijui vibetri vya remote ?
si ndio wale wanao jibebisha deile kama mademu.

nawaonea huruma sana wanawake wa dar, maana wanume zao idadi inazidi kupungua deile. kwakuwa kila mwanaume wa Dar anajifanya binti sikuizi.
sijui ni laana sijui ni nn ?
 
Wa mikoani wanapenda kutuma Salam redioni. Unaweza ukalala ukashtuka usiku wa manane ukafungua [emoji343] utasikia DJ kheri nakupata nakupata kutoka igoma mwanza.
Mpaka unajiuliza Hawa watu wana lala SAA ngapi huko mikoani au walinzii.
 
Haya mambo ya kujinadi kuishi Dar ni ushamba wa hali ya juu. Hivi mtu aliyetoka New York sasa hivi ukaanza kumpa hizo tambo za u-dar si atakuona kilaza wa mwisho
 
Wanaume wa Dar siku hizi sijui ni hormone za kuku Wana matako makubwa maumbile ya kike kike
wanaume wa Dar ni kazi sana kuwatofautisha na kuku wa kisasa.

yaaan Dar unaweza ona kama demu flani hivi njiani ukatamani umrukie hewani ikiwezekana umle papuchichi.
ile una mlia mingo, unampa salamu nn, na story mbili tatu nini, baadaye unakuja kubumbu ni mwanaume,.
 
Back
Top Bottom