Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
- Thread starter
-
- #21
Nimekuelewa. Watu huwa wakikosa kitu kizuri huamua kubariki kibaya kiwe kizuri kiwafariji.Ukifika tanzania usipo kula ugali unaonekana legelege.
Tuukatae umasikini wakuu,ugali ni wa ufuta tu ni mzuri kiafya.
utanielewa mtoa mada japo sijaenda nnje ya thread
Wewe ni mweusi bila shaka. Nakuelewa. Usijali.Wanawake wanawaona kama ni Washindani wao kwenye kusaka mabwana 🤣🤣
Hadithi yako inatufundisha nini?Hili suala nilikuwa naambiwa lakini jana nimeshuhudia. Kwa masikio yangu nimemsikia jamaa akiniponda. Sijamkosea lolote maskini. Mimi nimekaa ofisini kwao nikimsubiri Boss wao. Akaja dada mmoja akauliza kama nimesikilizwa, nikamjibu ndiyo lakini ni kama hakuridhika akaona kuwa nilipaswa kuwa attended kwa uharaka sana.
Akaenda kuuliza akifoka kwa wafanyakazi wengine kuwa mbona sijawa attended sijawekewa na kinywaji. (Huyu dada ananifahamu nina shughuli gani na boss wao, mimi nikifika huwa nakaa tu sehemu wanayokaa watanzania wenzangu na kiuhalisia napaswa niwe nakaa VIP) so akawa anawasema kwa nini hawajanipeleka VIP ndo secretary akasema nilimwambia tu hata pale panatosha asiwe na shaka.
Yule dada alinifuata this time akiomba kwa unyenyekevu sana kuwa nihamie kule VIP si vyema mimi kusubiri hapa nilipo. Nikajisikia vibaya kumkatalia kutokana na lugha aliyotumia. Basi nikaamka kwenda. Nikiwa kule kumbe wale jamaa ofisi ya pembeni hawakujua kama nitapita pale kwao ndo nikamsikia jamaa anasema.
"Boss anatulalamikia sababu ya yule Jamaa bitozi white kama demu" nikakohoa ili asiendelee kuongea maneno mengine ajue napita, alishtuka.
Sikuelewa why aniite white kama demu. Mimi sijichubui, sipaki lotion au cream. Napaka tu vaselline au mafuta ya nani. Why ameonesha chuki kwangu na hali sijamtukana, sijamdharau wala nini? Nikakumbuka niliwahi kuwa na demu mmoja alikuwa ananiambia ananipenda sana isipokuwa anakosa amani kutembea nami sababu namfunika..... Sikuwa naelewa. Baadaye akaja akasema anamaanisha hii rangi yangu ya mtume inampa shida, tulikuja achana. Cha ajabu aliolewa na baadaye akawa ananifuata nimpatie mtoto. Ili apate mtoto mweupe. Sikuona kama ni jambo jema kwa kweli.
Hili tatizo sielewi nini chanzo, binafsi mimi napenda mwanamke rangi yoyote ile huwa rangi si tatizo kwangu awe tu mzuri na mwenye kuvutia. sibagui sana rangi. nadhani tusifikie hatua ya kubaguana kwa sababu ya rangi. si wanaume wala wanawake. Mungu anajua mwenyewe why alitupa rangi tofaut tofaut.
Rangi nyeupe ni ya wote tu, angalia wazungu, wachina, waarabu, wahindi n.k na kuwa mweusi siyo ndo kuwa mwanaume au mwafrika sana.
Mwanaume unakuaje na wivu wa rangi?Wanaume unakuaje mweupe
ME....Mtume alikuwa rangi gani? We jinsia gani?
Ok. Na wewe ni mwanamke mweusi bila shaka. Msishindane sababu ya rangi. Shindaniane akili.ME....
Vipi?
Hiyo Mwanamke umeitoa wapi?Ok. Na wewe ni mwanamke mweusi bila shaka. Msishindane sababu ya rangi. Shindaniane akili.
Colorism is still a problem in our societyShida sio hio rangi nyeupe mwilini shida ni hio rangi nyeupe kichwani
Ndio mimi cheusi mangalaa fii
Mi nilitaka kusema hapa ni pumbaHapa kwenye wanaume weusi kuwanyenyekea wanawake umeongea bonge la pumba
Alafu kuna utofauti sana kati ya rangi na muonekano wa mtu
Kuna wanaume ni weusi-Handsome na kuna wanaume weusi sio handsome
Kuna wanaume weupe-Handsome, Na kuna weupe sio handsome
Kwahiyo hoja yako ni pumba.
Don't block opinion filter them if it's true cancel them and move on.Hili suala nilikuwa naambiwa lakini jana nimeshuhudia. Kwa masikio yangu nimemsikia jamaa akiniponda. Sijamkosea lolote maskini. Mimi nimekaa ofisini kwao nikimsubiri Boss wao. Akaja dada mmoja akauliza kama nimesikilizwa, nikamjibu ndiyo lakini ni kama hakuridhika akaona kuwa nilipaswa kuwa attended kwa uharaka sana.
Akaenda kuuliza akifoka kwa wafanyakazi wengine kuwa mbona sijawa attended sijawekewa na kinywaji. (Huyu dada ananifahamu nina shughuli gani na boss wao, mimi nikifika huwa nakaa tu sehemu wanayokaa watanzania wenzangu na kiuhalisia napaswa niwe nakaa VIP) so akawa anawasema kwa nini hawajanipeleka VIP ndo secretary akasema nilimwambia tu hata pale panatosha asiwe na shaka.
Yule dada alinifuata this time akiomba kwa unyenyekevu sana kuwa nihamie kule VIP si vyema mimi kusubiri hapa nilipo. Nikajisikia vibaya kumkatalia kutokana na lugha aliyotumia. Basi nikaamka kwenda. Nikiwa kule kumbe wale jamaa ofisi ya pembeni hawakujua kama nitapita pale kwao ndo nikamsikia jamaa anasema.
"Boss anatulalamikia sababu ya yule Jamaa bitozi white kama demu" nikakohoa ili asiendelee kuongea maneno mengine ajue napita, alishtuka.
Sikuelewa why aniite white kama demu. Mimi sijichubui, sipaki lotion au cream. Napaka tu vaselline au mafuta ya nani. Why ameonesha chuki kwangu na hali sijamtukana, sijamdharau wala nini? Nikakumbuka niliwahi kuwa na demu mmoja alikuwa ananiambia ananipenda sana isipokuwa anakosa amani kutembea nami sababu namfunika..... Sikuwa naelewa. Baadaye akaja akasema anamaanisha hii rangi yangu ya mtume inampa shida, tulikuja achana. Cha ajabu aliolewa na baadaye akawa ananifuata nimpatie mtoto. Ili apate mtoto mweupe. Sikuona kama ni jambo jema kwa kweli.
Hili tatizo sielewi nini chanzo, binafsi mimi napenda mwanamke rangi yoyote ile huwa rangi si tatizo kwangu awe tu mzuri na mwenye kuvutia. sibagui sana rangi. nadhani tusifikie hatua ya kubaguana kwa sababu ya rangi. si wanaume wala wanawake. Mungu anajua mwenyewe why alitupa rangi tofaut tofaut.
Rangi nyeupe ni ya wote tu, angalia wazungu, wachina, waarabu, wahindi n.k na kuwa mweusi siyo ndo kuwa mwanaume au mwafrika sana.
Lipia tangazoHili suala nilikuwa naambiwa lakini jana nimeshuhudia. Kwa masikio yangu nimemsikia jamaa akiniponda. Sijamkosea lolote maskini. Mimi nimekaa ofisini kwao nikimsubiri Boss wao. Akaja dada mmoja akauliza kama nimesikilizwa, nikamjibu ndiyo lakini ni kama hakuridhika akaona kuwa nilipaswa kuwa attended kwa uharaka sana.
Akaenda kuuliza akifoka kwa wafanyakazi wengine kuwa mbona sijawa attended sijawekewa na kinywaji. (Huyu dada ananifahamu nina shughuli gani na boss wao, mimi nikifika huwa nakaa tu sehemu wanayokaa watanzania wenzangu na kiuhalisia napaswa niwe nakaa VIP) so akawa anawasema kwa nini hawajanipeleka VIP ndo secretary akasema nilimwambia tu hata pale panatosha asiwe na shaka.
Yule dada alinifuata this time akiomba kwa unyenyekevu sana kuwa nihamie kule VIP si vyema mimi kusubiri hapa nilipo. Nikajisikia vibaya kumkatalia kutokana na lugha aliyotumia. Basi nikaamka kwenda. Nikiwa kule kumbe wale jamaa ofisi ya pembeni hawakujua kama nitapita pale kwao ndo nikamsikia jamaa anasema.
"Boss anatulalamikia sababu ya yule Jamaa bitozi white kama demu" nikakohoa ili asiendelee kuongea maneno mengine ajue napita, alishtuka.
Sikuelewa why aniite white kama demu. Mimi sijichubui, sipaki lotion au cream. Napaka tu vaselline au mafuta ya nani. Why ameonesha chuki kwangu na hali sijamtukana, sijamdharau wala nini? Nikakumbuka niliwahi kuwa na demu mmoja alikuwa ananiambia ananipenda sana isipokuwa anakosa amani kutembea nami sababu namfunika..... Sikuwa naelewa. Baadaye akaja akasema anamaanisha hii rangi yangu ya mtume inampa shida, tulikuja achana. Cha ajabu aliolewa na baadaye akawa ananifuata nimpatie mtoto. Ili apate mtoto mweupe. Sikuona kama ni jambo jema kwa kweli.
Hili tatizo sielewi nini chanzo, binafsi mimi napenda mwanamke rangi yoyote ile huwa rangi si tatizo kwangu awe tu mzuri na mwenye kuvutia. sibagui sana rangi. nadhani tusifikie hatua ya kubaguana kwa sababu ya rangi. si wanaume wala wanawake. Mungu anajua mwenyewe why alitupa rangi tofaut tofaut.
Rangi nyeupe ni ya wote tu, angalia wazungu, wachina, waarabu, wahindi n.k na kuwa mweusi siyo ndo kuwa mwanaume au mwafrika sana.
Ushamba mzigo.Mimi nimekulia kijijini kwetu ujaluoni nikiwa na miaka 6 bi mkubwa alikuja kunichukua kunileta dar nianze shule na hapo ndio ilikua mara yangu ya kwanza kumuona wanaume weupe , bi mkubwa ni mweupe kwaiyo nikawa najua weupe ni wanawake tu, mara ya kwanza nilikua nawashangaa sana wanaume weupe ila badae nikaja kuzoea. Binafsi mazingira yaliyonikuza namuona mwanaume mweupe kama legelege fulani hivi.
kwa hiyo na wewe tukikuita black utafurahi?Siyo rangi tu ya kidemu hata akili yako ya kidemu. Kulia lia na kulalamika kipuuzi kunaonyesha una genes za kike kike. Huwezi kumezea na kupuuzia.
Kwani ukiitwa white kuna shida gani?
Wewe white vipi aisee?
Nadhani pm yako mpaka sasa itakuwa imejaaHili suala nilikuwa naambiwa lakini jana nimeshuhudia. Kwa masikio yangu nimemsikia jamaa akiniponda. Sijamkosea lolote maskini. Mimi nimekaa ofisini kwao nikimsubiri Boss wao. Akaja dada mmoja akauliza kama nimesikilizwa, nikamjibu ndiyo lakini ni kama hakuridhika akaona kuwa nilipaswa kuwa attended kwa uharaka sana.
Akaenda kuuliza akifoka kwa wafanyakazi wengine kuwa mbona sijawa attended sijawekewa na kinywaji. (Huyu dada ananifahamu nina shughuli gani na boss wao, mimi nikifika huwa nakaa tu sehemu wanayokaa watanzania wenzangu na kiuhalisia napaswa niwe nakaa VIP) so akawa anawasema kwa nini hawajanipeleka VIP ndo secretary akasema nilimwambia tu hata pale panatosha asiwe na shaka.
Yule dada alinifuata this time akiomba kwa unyenyekevu sana kuwa nihamie kule VIP si vyema mimi kusubiri hapa nilipo. Nikajisikia vibaya kumkatalia kutokana na lugha aliyotumia. Basi nikaamka kwenda. Nikiwa kule kumbe wale jamaa ofisi ya pembeni hawakujua kama nitapita pale kwao ndo nikamsikia jamaa anasema.
"Boss anatulalamikia sababu ya yule Jamaa bitozi white kama demu" nikakohoa ili asiendelee kuongea maneno mengine ajue napita, alishtuka.
Sikuelewa why aniite white kama demu. Mimi sijichubui, sipaki lotion au cream. Napaka tu vaselline au mafuta ya nani. Why ameonesha chuki kwangu na hali sijamtukana, sijamdharau wala nini? Nikakumbuka niliwahi kuwa na demu mmoja alikuwa ananiambia ananipenda sana isipokuwa anakosa amani kutembea nami sababu namfunika..... Sikuwa naelewa. Baadaye akaja akasema anamaanisha hii rangi yangu ya mtume inampa shida, tulikuja achana. Cha ajabu aliolewa na baadaye akawa ananifuata nimpatie mtoto. Ili apate mtoto mweupe. Sikuona kama ni jambo jema kwa kweli.
Hili tatizo sielewi nini chanzo, binafsi mimi napenda mwanamke rangi yoyote ile huwa rangi si tatizo kwangu awe tu mzuri na mwenye kuvutia. sibagui sana rangi. nadhani tusifikie hatua ya kubaguana kwa sababu ya rangi. si wanaume wala wanawake. Mungu anajua mwenyewe why alitupa rangi tofaut tofaut.
Rangi nyeupe ni ya wote tu, angalia wazungu, wachina, waarabu, wahindi n.k na kuwa mweusi siyo ndo kuwa mwanaume au mwafrika sana.
Unamfahamu Suphian Juma ?Mtume alikuwa rangi gani? We jinsia gani?