Sisi wanawake bwana!

Sisi wanawake bwana!

kunae mtu mmoja alikua na mpenzi wake, mapenzi shatashata huku bibie akikataa wanaume waliokua wanakimbizana kuleta posa kwao kwa kisingizio ana mtu wake, kama uzuri amejaaliwa binti huyu, ni mzuri mashallah

kaka wa watu kajitafuta kajipata, kajitutumua kwenda ukweni akapangiwa mahari tena ya bei na vitu ghali akatimiza yote mpaka tarehe ya ndoa ikapangwa, kisanga kikaja bibie kafumaniwa n mume wa nduguye tena kakiri s mara moja wala mbili shemeji anatelezesha utamu kwake, ujinga unaokuja ni mama wa mwanaume kushinikiza mwanae aoe hivyohivyo kisa watu wameshatoa michango na sare vitambaa wamekata hivi mama kweli unaweza kumshauri mwanao huu wazimu??
hao watakuwa warangi ndio tabia zao hizo
 
mwanaume wa watu yupo njia pnda hajui amfate yupi amsikilize mama yake anayemtishia kama mimi sio mama yako ndoa iko pale pale au baba anayemwambia hakuna ndoa na mahari yetu waturudishie au amsamehe baby wake shetani wamwisho wa mwaka kampitia tu
Huyo maza ni mjinga sana kwahiyo analazimisha.ndoa kisa wametoa mchango?? Kijana anatakiwa kumsikiliza faza
 
kunae mtu mmoja alikua na mpenzi wake, mapenzi shatashata huku bibie akikataa wanaume waliokua wanakimbizana kuleta posa kwao kwa kisingizio ana mtu wake, kama uzuri amejaaliwa binti huyu, ni mzuri mashallah

kaka wa watu kajitafuta kajipata, kajitutumua kwenda ukweni akapangiwa mahari tena ya bei na vitu ghali akatimiza yote mpaka tarehe ya ndoa ikapangwa, kisanga kikaja bibie kafumaniwa n mume wa nduguye tena kakiri s mara moja wala mbili shemeji anatelezesha utamu kwake, ujinga unaokuja ni mama wa mwanaume kushinikiza mwanae aoe hivyohivyo kisa watu wameshatoa michango na sare vitambaa wamekata hivi mama kweli unaweza kumshauri mwanao huu wazimu??
Mapenzi yana teach na R.i.p Kwa wote walio poteza maisha Yao sababu ya mapenzi it's true hayana chuo Wala muongozo 😔🤨😢😢

Asalamaleko
 
Back
Top Bottom