Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
- Thread starter
-
- #21
mwanaume wa watu yupo njia pnda hajui amfate yupi amsikilize mama yake anayemtishia kama mimi sio mama yako ndoa iko pale pale au baba anayemwambia hakuna ndoa na mahari yetu waturudishie au amsamehe baby wake shetani wamwisho wa mwaka kampitia tuNever mkuu
mimi n mwanamke lakini siwezi mshinikiza mwanangu ndoa ambayo tayar jini mkata kamba kaingia kwa nguv zoteHajakutana na vijana watata .....angeenda kuoa yeye labda ......
au labda nayeye alifanyaga hivyo na akaolewaga tu hivyo hivyo so anaona kawaida flan ivi ...
π€£π€£Mama hataki kujibu swali la jamii kwann ndoa haijafungwa..
hahahaha yuko njia panda hata nje hatokiKwani mlaji wa hiyo k anasemaje?Maamuzi tumwachie yy maana Kuna wengine hamfumaniwi tu Ili ni kiboko
hao watakuwa warangi ndio tabia zao hizokunae mtu mmoja alikua na mpenzi wake, mapenzi shatashata huku bibie akikataa wanaume waliokua wanakimbizana kuleta posa kwao kwa kisingizio ana mtu wake, kama uzuri amejaaliwa binti huyu, ni mzuri mashallah
kaka wa watu kajitafuta kajipata, kajitutumua kwenda ukweni akapangiwa mahari tena ya bei na vitu ghali akatimiza yote mpaka tarehe ya ndoa ikapangwa, kisanga kikaja bibie kafumaniwa n mume wa nduguye tena kakiri s mara moja wala mbili shemeji anatelezesha utamu kwake, ujinga unaokuja ni mama wa mwanaume kushinikiza mwanae aoe hivyohivyo kisa watu wameshatoa michango na sare vitambaa wamekata hivi mama kweli unaweza kumshauri mwanao huu wazimu??
Na yeye nae ni malayer konkihahahaha yuko njia panda hata nje hatoki
duhHatari sana. Hili lilimkuta jamaa yangu, alimfunia mkewe mtarajiwa siku 2 kabla ya ndoa na bado akamuoa. Hadi leo wapo wote mwaka kama wa nane
hao watakuwa warangi ndio tabia zao hizo
yan hapo watu tunashaur kama wanaamua kuoana bas watulie sio siku mbili tu ndio mana uliliwa na shemejio kwa umalaya au kama hawez aache sjui alikua na nyege kias gan had akaamua kugawa utamNa yeye nae ni malayer konki
Unakaribia ndoani kweli unacheat?? Serious?
Huyo maza ni mjinga sana kwahiyo analazimisha.ndoa kisa wametoa mchango?? Kijana anatakiwa kumsikiliza fazamwanaume wa watu yupo njia pnda hajui amfate yupi amsikilize mama yake anayemtishia kama mimi sio mama yako ndoa iko pale pale au baba anayemwambia hakuna ndoa na mahari yetu waturudishie au amsamehe baby wake shetani wamwisho wa mwaka kampitia tu
mimi namuonea huruma huku binti uliwekea nae malengo leo kakuvua nguo mbele za watuHuyo maza ni mjinga sana kwahiyo analazimisha.ndoa kisa wametoa mchango?? Kijana anatakiwa kumsikiliza faza
Mapenzi yana teach na R.i.p Kwa wote walio poteza maisha Yao sababu ya mapenzi it's true hayana chuo Wala muongozo ππ€¨π’π’kunae mtu mmoja alikua na mpenzi wake, mapenzi shatashata huku bibie akikataa wanaume waliokua wanakimbizana kuleta posa kwao kwa kisingizio ana mtu wake, kama uzuri amejaaliwa binti huyu, ni mzuri mashallah
kaka wa watu kajitafuta kajipata, kajitutumua kwenda ukweni akapangiwa mahari tena ya bei na vitu ghali akatimiza yote mpaka tarehe ya ndoa ikapangwa, kisanga kikaja bibie kafumaniwa n mume wa nduguye tena kakiri s mara moja wala mbili shemeji anatelezesha utamu kwake, ujinga unaokuja ni mama wa mwanaume kushinikiza mwanae aoe hivyohivyo kisa watu wameshatoa michango na sare vitambaa wamekata hivi mama kweli unaweza kumshauri mwanao huu wazimu??
wacha wahusika warekebisheHiki kichwa kingesomeka wanawake ni mafala ingependeza zaidi
ndio nnMapenzi yana teach na R.i.p Kwa wote walio poteza maisha Yao sababu ya mapenzi it's true hayana chuo Wala muongozo ππ€¨π’π’
Asalamaleko
So sadmimi namuonea huruma huku binti uliwekea nae malengo leo kakuvua nguo mbele za watu
na ndio mama kashikilia bango ndoa ipoHuyo sio mwanamke wa kuoa. Huyo jamaa hapo anaoa matatizo tu.
-Kaveli-
Unataka definition ya LOVE πndio nn