Sisi wapare tuna akili za darasani kuliko wachaga

Wakaskazini mmezidi ukabila. Walianza wachaga kwa kujisifu, kujiona bora zaidi na kuwabagua makabila mengine na nyie wapare mliwasapoti kwa kuwa ni wakaskazini wenzenu. Sasa leo na nyie wakaskazini mnaanza kubaguana wenyewe kwa wenyewe tena. Yetu macho na masikio[emoji3][emoji3]
 
Kwa nini ujifananishe na wachaga? Wataalam wanasema kuna njia mbili za kukiri jambo. Kukubali kuwa lipo, au kusema kuwa halipo.
 
Looh😂😂😂
 
Vathu va Chome vathu va Uthangi.Wapare wanapenda kesi sijui ni kwa nini.
 
Soma history..
Chief Kimweri alikimbia uvamizi wa wajerumani milima ya usambara akakimbilia milima ya same.

#YNWA
Hao walipokuja same walikuja na wasomali ambao walidharaulika ndio waliitwa wambugu na kulikuwa na Vita ambayo mpaka Leo Kuna eneo linaitwa kava mbughu . Wanaojua zaidi wataeleza kuhuhusu kava mbughu
 
Class letu o level academically lilikuwa linaongozwa na mpare, ila sidhan km n kweli wote wana akili kubwa hivyo.
 
Mkuu

Ni rahisi sana kuchukua mfano wako wewe maana ni exceptional..

Chukulia jamii nzima then tafuta average,I doubt Wachagga watakua wame-advance kiasi fulani

Bell Curve haidanganyi...achana hiyo ya wewe na wenzako kadhaa outliers!
 
Kwakuwa ni watani wetu, huu ni kati ya utani mwingine.

Kuna wapare unawajua ni Harvard Alumni?
 
Ndio maana imefikia mahali mgombea wenu wa ubunge anadhalilisha imani za wengine (wakatoliki)wakati wa kampeni ili tu apate ubunge
 

Kweli kabisa wengi wetu tuna akili sana ya kuchakata mambo.... hasa sisi tuliochanganya wapare na wanyakyusa.... hahahaha.... na mimi sasa nimeamua nikachanganye na Muhaya nitoe toto lenye akili balaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…