Sisi Washabiki wa Yanga tunasema ushindi wa Mikia Ngao ya hisani ni ushindi wa Yanga

Rajab_Omar

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Posts
16,482
Reaction score
27,182
Habarini Wana Yanga Wenzangu,

Leo tukiwa pale Mkapa Stadium tukifanya show za kisanii na sarakasi zilizotaka kumdondosha Konde Boys kwenye rope, Wenzetu kule Arusha walichakaza Vibaya Namungo kwa kipigo cha Paka mwizi na kubeba Ngao ya Hisani.

Ikumbukwe kuwa aliyefunga goli la pili la Simba ni mchezaji wetu sisi Yanga ambaye ni Bernard Morrison, huyu Morrison alipangwa leo kucheza mechi yetu ya Siku ya Wananchi lakini ameona bora akimbilie Arusha akacheze kwa Simba.

Hivyo kushinda kwa Morrison mchezqji wetu ndiyo kushinda kwa Yanga. Kufunga goli Morrison ndiyo Kufunga goli kwa Yanga.

Morrison kabeba Ngao ndiyo Yanga kabeba Ngao.

Daima mbele Nyuma Mwiko
 
We ni mikia Sc,,,,, toka zako hapa side hatujawahi kulilia ushinde wa mezani kama nyie
 
We ni mikia Sc,,,,, toka zako hapa side hatujawahi kulilia ushinde wa mezani kama nyie

Yani mpaka wewe Yanga mwenzangu unashindwa kuungana na Wanajangwani kusherehekea ushindi wa Mchezaji wetu Morrison ambaye tumemtambulisha leo rasmi mbele ya Wananchi na Komando Kamba Harmonize?
 
Reactions: Tui
If A=B and B=C then A=C

Safi sana Genius wa hesabu! Kwa kifupi tu maana ya hesabu yako ni:-

If NGAO (A) kabeba MORRISON (B) and MORRISON (B) ni mchezaji wa YANGA (C) then NGAO (A) ni ya (YANGA).

Hata calculation zinaonesha kuwa Yanga tumeshinda 🙌🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…