Sisi Washabiki wa Yanga tunasema ushindi wa Mikia Ngao ya hisani ni ushindi wa Yanga

Sisi Washabiki wa Yanga tunasema ushindi wa Mikia Ngao ya hisani ni ushindi wa Yanga

Habarini Wana Yanga Wenzangu,

Leo tukiwa pale Mkapa Stadium tukifanya show za kisanii na sarakasi zilizotaka kumdondosha Konde Boys kwenye rope, Wenzetu kule Arusha walichakaza Vibaya Namungo kwa kipigo cha Paka mwizi na kubeba Ngao ya Hisani.

Ikumbukwe kuwa aliyefunga goli la pili la Simba ni mchezaji wetu sisi Yanga ambaye ni Bernard Morrison, huyu Morrison alipangwa leo kucheza mechi yetu ya Siku ya Wananchi lakini ameona bora akimbilie Arusha akacheze kwa Simba.

Hivyo kushinda kwa Morrison mchezqji wetu ndiyo kushinda kwa Yanga. Kufunga goli Morrison ndiyo Kufunga goli kwa Yanga.

Morrison kabeba Ngao ndiyo Yanga kabeba Ngao.

Daima mbele Nyuma Mwiko
Eti sisi mashabiki wa yanga. Yaaan wewe, your mother, father, sister, uncle ....
 
Back
Top Bottom