Nimewahi kuandika Arusha ni mkoa wenye watu wasafi na nadhifu sana watu wakabisha.Katika mkoa mchafu Tanzania ya kwanza ni Dar.
Huo mkutano bora wangepeleka Moshi au Arusha au hata Dodoma.
Dar posta tu ile ukishuka chini hapa kwenye fukwe unaweza jiuliza marambili sisi waTz tuna shida gani kila kitu chetu ni hovyo.
Siyo kwamba ni wachafu la! ni wavivu.... Yani unazuia shughuli za kiuchumi kisa kuna mkutano wa viongozi wa Afrika ambao unajaribu sijui kuficha umasikini wa watu wako wakati hata wao huko walipotoka wananchi wao hawajatofautiana sana na sisi. Ni uvivu kabisa wa kutangaza kutofanya kazi na wanafunzi kutoenda shule kwa nchi masikini kama hii.Nilijua wageni wanapokuja ni fursa kwa wenyeji nilidhani watanzania watafundishwa namna nzuri ya kufanya biashara zao na kunufaika na wageni wanapokuja badala yake sisi hatujui kujiweka smart na kuuweka mji wetu smart sasa tunatimuliwa mabarabarani huko sisi ni Wachafu tutaharibu sifa ya nchi yetu nzuri ,Iko siku watakuja viongozi wa Dunia akina Putin ,Kim jong UN ,watakuja kutuambia twende kwa muda rufiji mwanalomango huko ili kupisha wageni la mkuu limesikika
Nimekwazika kwakweli.Hivi ni kwamba hao viongozi watakua wanazunguka huko mjini kutwa nzima? Kwanini barabara zisingefungwa kwa muda asubuhi wakati wanaelekea, na jioni wakitoka kwenye mkutano? Yani unaua siku mbili nzima kisa msafara wa watu wasiozidi 30. This is Africa
Ina sound kama kitu flan simple ila ukisema ujaribu ndio unagundua ni nearly impossibleKwamba MTU akipanga tukio anaweza kushindwa? Tena kwa Tanzania?? Subutuuuu
Naunga mkono hojaNilijua wageni wanapokuja ni fursa kwa wenyeji nilidhani watanzania watafundishwa namna nzuri ya kufanya biashara zao na kunufaika na wageni wanapokuja badala yake sisi hatujui kujiweka smart na kuuweka mji wetu smart sasa tunatimuliwa mabarabarani huko sisi ni Wachafu tutaharibu sifa ya nchi yetu nzuri ,Iko siku watakuja viongozi wa Dunia akina Putin ,Kim jong UN ,watakuja kutuambia twende kwa muda rufiji mwanalomango huko ili kupisha wageni la mkuu limesikika
Mada inyojadiliwa ni usafi, sio ukubwa wa wa mji/jiji.Nyie watu! Hata kama Dar ina mapungufu yake, lakini hapa Tz hakuna mkoa unaweza kuuingia Dar hata kwa robo! Dar ipewe heshima yake! Mikoa yote sijui Arusha, mwanza, Dodoma hata ikiungana haiwezi ifikia Dar
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ila watu et hawaogi daahKwani uongo? Watu hawaogi wanavaa malapulapu! Hata Makonda aliwahi kuweka zuio la kwamba usipooga huruhusiwi kwenye mitaa ya kati ya Dar kama posta?
Naona serikali wameziba viraka na mashimo barabaraniNilijua wageni wanapokuja ni fursa kwa wenyeji nilidhani watanzania watafundishwa namna nzuri ya kufanya biashara zao na kunufaika na wageni wanapokuja badala yake sisi hatujui kujiweka smart na kuuweka mji wetu smart sasa tunatimuliwa mabarabarani huko sisi ni Wachafu tutaharibu sifa ya nchi yetu nzuri ,Iko siku watakuja viongozi wa Dunia akina Putin ,Kim jong UN ,watakuja kutuambia twende kwa muda rufiji mwanalomango huko ili kupisha wageni la mkuu limesikika
Harufu Kali ,nzito na hawajali kutililisha maji machafu popoteKatika mkoa mchafu Tanzania ya kwanza ni Dar.
Huo mkutano bora wangepeleka Moshi au Arusha au hata Dodoma.
Dar posta tu ile ukishuka chini hapa kwenye fukwe unaweza jiuliza marambili sisi waTz tuna shida gani kila kitu chetu ni hovyo.
Kwa kipi sasa?Nyie watu! Hata kama Dar ina mapungufu yake, lakini hapa Tz hakuna mkoa unaweza kuuingia Dar hata kwa robo! Dar ipewe heshima yake! Mikoa yote sijui Arusha, mwanza, Dodoma hata ikiungana haiwezi ifikia Dar
Kwa uchafu ni kweli haiwezi kunifikia darNyie watu! Hata kama Dar ina mapungufu yake, lakini hapa Tz hakuna mkoa unaweza kuuingia Dar hata kwa robo! Dar ipewe heshima yake! Mikoa yote sijui Arusha, mwanza, Dodoma hata ikiungana haiwezi ifikia Dar