Sisi watanzania ni wachafu sana ndio maana wageni wakija tunafukuzwa mjini ,wageni 36 tu shule ,masoko zimefungwa!

Katika mkoa mchafu Tanzania ya kwanza ni Dar.
Huo mkutano bora wangepeleka Moshi au Arusha au hata Dodoma.

Dar posta tu ile ukishuka chini hapa kwenye fukwe unaweza jiuliza marambili sisi waTz tuna shida gani kila kitu chetu ni hovyo.
Nimewahi kuandika Arusha ni mkoa wenye watu wasafi na nadhifu sana watu wakabisha.
 
Hivi ni kwamba hao viongozi watakua wanazunguka huko mjini kutwa nzima? Kwanini barabara zisingefungwa kwa muda asubuhi wakati wanaelekea, na jioni wakitoka kwenye mkutano? Yani unaua siku mbili nzima kisa msafara wa watu wasiozidi 30. This is Africa
 
Nilijua wageni wanapokuja ni fursa kwa wenyeji nilidhani watanzania watafundishwa namna nzuri ya kufanya biashara zao na kunufaika na wageni wanapokuja badala yake sisi hatujui kujiweka smart na kuuweka mji wetu smart sasa tunatimuliwa mabarabarani huko sisi ni Wachafu tutaharibu sifa ya nchi yetu nzuri ,Iko siku watakuja viongozi wa Dunia akina Putin ,Kim jong UN ,watakuja kutuambia twende kwa muda rufiji mwanalomango huko ili kupisha wageni la mkuu limesikika
Siyo kwamba ni wachafu la! ni wavivu.... Yani unazuia shughuli za kiuchumi kisa kuna mkutano wa viongozi wa Afrika ambao unajaribu sijui kuficha umasikini wa watu wako wakati hata wao huko walipotoka wananchi wao hawajatofautiana sana na sisi. Ni uvivu kabisa wa kutangaza kutofanya kazi na wanafunzi kutoenda shule kwa nchi masikini kama hii.
Hii si kwa viongozi wa kigeni tu, mimi nakwambia kuna siku rais alikuwa anaenda mtembelea Makamba mkubwa, siku mbili kabla walibomoa vibanda vilivyo karibu na barabara ya mtaa na kuondoa vijiwe vya boda boda na kumwaga kifusi kuondoa mashimo kwa barabara.
Mimi nilibaki najiuliza, unabomoa vibanda na kuwafukuza boda boda ili kuficha hali ya wananchi kwa mtawala au kuficha nini mpaka leo sijawahi kuelewa.
 
Hivi ni kwamba hao viongozi watakua wanazunguka huko mjini kutwa nzima? Kwanini barabara zisingefungwa kwa muda asubuhi wakati wanaelekea, na jioni wakitoka kwenye mkutano? Yani unaua siku mbili nzima kisa msafara wa watu wasiozidi 30. This is Africa
Nimekwazika kwakweli.
 
Nilijua wageni wanapokuja ni fursa kwa wenyeji nilidhani watanzania watafundishwa namna nzuri ya kufanya biashara zao na kunufaika na wageni wanapokuja badala yake sisi hatujui kujiweka smart na kuuweka mji wetu smart sasa tunatimuliwa mabarabarani huko sisi ni Wachafu tutaharibu sifa ya nchi yetu nzuri ,Iko siku watakuja viongozi wa Dunia akina Putin ,Kim jong UN ,watakuja kutuambia twende kwa muda rufiji mwanalomango huko ili kupisha wageni la mkuu limesikika
Naunga mkono hoja
Asilimia kubwa ya watu bado hawajastaarabika
 
Nyie watu! Hata kama Dar ina mapungufu yake, lakini hapa Tz hakuna mkoa unaweza kuuingia Dar hata kwa robo! Dar ipewe heshima yake! Mikoa yote sijui Arusha, mwanza, Dodoma hata ikiungana haiwezi ifikia Dar
Mada inyojadiliwa ni usafi, sio ukubwa wa wa mji/jiji.
 
Nilijua wageni wanapokuja ni fursa kwa wenyeji nilidhani watanzania watafundishwa namna nzuri ya kufanya biashara zao na kunufaika na wageni wanapokuja badala yake sisi hatujui kujiweka smart na kuuweka mji wetu smart sasa tunatimuliwa mabarabarani huko sisi ni Wachafu tutaharibu sifa ya nchi yetu nzuri ,Iko siku watakuja viongozi wa Dunia akina Putin ,Kim jong UN ,watakuja kutuambia twende kwa muda rufiji mwanalomango huko ili kupisha wageni la mkuu limesikika
Naona serikali wameziba viraka na mashimo barabarani

Ova
 
Walikuja marais wawili wa US-Bush na Obama fuatilia heka heka zilizokuweko.
Lakini safari hii ya hawa wageni imefanya serikali yetu kwenda mbali.
Sio tu kwenda mbali wameenda malikiti kabisa
 
Katika mkoa mchafu Tanzania ya kwanza ni Dar.
Huo mkutano bora wangepeleka Moshi au Arusha au hata Dodoma.

Dar posta tu ile ukishuka chini hapa kwenye fukwe unaweza jiuliza marambili sisi waTz tuna shida gani kila kitu chetu ni hovyo.
Harufu Kali ,nzito na hawajali kutililisha maji machafu popote
 
Hii tabia ni tangu zamani, imepanda juu toka chini. Mzazi kwa uzembe wake hasafishi watoto wake na kuwaweka safi, akitembelewa na mgeni anatimua watoto wake wakae mbali wasionekane walivyo wachafu kwa mgeni wake. Hata kula watoto wanatimuliwa wasile na mgeni watachafua chakula na kula kichafu. Ni uzembe wa mzazi kutowazoesha watoto wake tabia ya usafi
 
Back
Top Bottom