Sisi watanzania ni wachafu sana ndio maana wageni wakija tunafukuzwa mjini ,wageni 36 tu shule ,masoko zimefungwa!

Sisi watanzania ni wachafu sana ndio maana wageni wakija tunafukuzwa mjini ,wageni 36 tu shule ,masoko zimefungwa!

Kwamba viongozi wakufanye wewe usiwe mchafu? Au mimi ndio sijakuelewa maana unakuta kubwa zima linakunywa maji ndani ya gari au daladala akimaliza anatupa chupa ya maji barabani kupitia dirishani. Hapo kiongozi anahusikaje na uendawazimu wa kubwa jinga kama huyu?
Mkuu,
Huoni kua huyo jamaa katengeneza ajiraa☺️😊😊😊

Maana CHUPA hufanyiwa recycling Ila the best way ni kuziweka kwenye dust bin.
 
Nyie watu! Hata kama Dar ina mapungufu yake, lakini hapa Tz hakuna mkoa unaweza kuuingia Dar hata kwa robo! Dar ipewe heshima yake! Mikoa yote sijui Arusha, mwanza, Dodoma hata ikiungana haiwezi ifikia Dar
NI kweli kabisa ulichoandika kwa uchafu hakuna mkoa unaoweza kuuingia Dar, hadi najiuliza huu mkoa una viongozi kweli
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Dar jiji lina kila harufu mbaya unayoijua huku Duniani.

Mamlaka zilitazame sana hili jambo.
Halafu Serikali mbona kuna mikoa wanaitelekeza na inaweza kuwa na potential sawa na Dar , mfano Tanga, Lindi na Mtwara.
Hiyo mikoa imetoa.viongozi wakubwa tu wa kitaifa na wabunge wa maana wakifika bungeni wanapiga meza kupitisha maombi ya wenzao kuendelezewa miji yao, sasa nani aje awaendelezee?
 
Nyie watu! Hata kama Dar ina mapungufu yake, lakini hapa Tz hakuna mkoa unaweza kuuingia Dar hata kwa robo! Dar ipewe heshima yake! Mikoa yote sijui Arusha, mwanza, Dodoma hata ikiungana haiwezi ifikia Dar
Kweli haiwezi kufikiwa kwa uchafu
 
Nilijua wageni wanapokuja ni fursa kwa wenyeji, nilidhani watanzania watafundishwa namna nzuri ya kufanya biashara zao na kunufaika na wageni wanapokuja badala yake sisi hatujui kujiweka smart na kuuweka mji wetu smart sasa tunatimuliwa mabarabarani huko sisi ni Wachafu tutaharibu sifa ya nchi yetu nzuri ,Iko siku watakuja viongozi wa Dunia akina Putin, Kim jong UN ,watakuja kutuambia twende kwa muda Rufiji Mwanalomango huko ili kupisha wageni la mkuu limesikika
Kwahiyo, huko mkutanoni hakuna watanzania, kuna wa nchi nyingine tu?
 
Nyie watu! Hata kama Dar ina mapungufu yake, lakini hapa Tz hakuna mkoa unaweza kuuingia Dar hata kwa robo! Dar ipewe heshima yake! Mikoa yote sijui Arusha, mwanza, Dodoma hata ikiungana haiwezi ifikia Dar
Unaandika kama hujawahi kusikia kile kiharufu pale kivukoni, na kukiwa na upepo mkali kdg kinafika hadi posta yaan ni kero, kama vile K yenye UTI sugu na haijaoshwa wiki nzima.
 
Dar jiji lina kila harufu mbaya unayoijua huku Duniani.

Mamlaka zilitazame sana hili jambo.
Halafu Serikali mbona kuna mikoa wanaitelekeza na inaweza kuwa na potential sawa na Dar , mfano Tanga, Lindi na Mtwara.
Kiukweli dar kwa harufu mbaya inashika namba moja. Kuna harufu ukienda mikoani hazipo ila njoo dar sasa, maweeee
 
Me nazungumzia usafi mkuu sijasema Kuna mkoa Dar unaipiku kimaendeleo..
Nimeish arusha ni kuchafu kama nini.
Shida ya dar ni kwa vile kuna mkusanyiko wa watu wengi sehemu moja ndo maana panaonekana kwa urahisi
 
Kuna mzee anaishi kibaha na yeye ninamuona akilalamika pamoja na watu wa dar. Kumbe kibaha nayo ni Dar eeh
 
Nyie watu! Hata kama Dar ina mapungufu yake, lakini hapa Tz hakuna mkoa unaweza kuuingia Dar hata kwa robo! Dar ipewe heshima yake! Mikoa yote sijui Arusha, mwanza, Dodoma hata ikiungana haiwezi ifikia Dar
Rasilimali zikitumika sawa sawa kuna mikoa ambayo Dar itaachwa mbali sana ni vile tu hatujawa serious na mali zetu
 
Back
Top Bottom