Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Mkuu,Kwamba viongozi wakufanye wewe usiwe mchafu? Au mimi ndio sijakuelewa maana unakuta kubwa zima linakunywa maji ndani ya gari au daladala akimaliza anatupa chupa ya maji barabani kupitia dirishani. Hapo kiongozi anahusikaje na uendawazimu wa kubwa jinga kama huyu?
Huoni kua huyo jamaa katengeneza ajiraa☺️😊😊😊
Maana CHUPA hufanyiwa recycling Ila the best way ni kuziweka kwenye dust bin.