Sisi waume za watu tunatakiwa tuheshimiwe

Sisi waume za watu tunatakiwa tuheshimiwe

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Kila kitu hutokea kwa sababu. Ikiwa sisi wanaume wenye ndoa zetu, tukiamua kuwa waaminifu kwa wake zetu, kuna uwezekano mkubwa huko mitaani wanawake wengine wakiwepo wanafunzi wa vyuo wakapata shida zaidi.

Shida zenyewe ni kukosa watu wa kuzaa nao, kukosa vipato na uchumi wao kuporomoka, kukosa ada na matumizi ya chuo n.k Kwa hiyo, sisi waume za watu tunatakiwa tuheshimiwe.​
 
Kila kitu hutokea kwa sababu. Ikiwa sisi wanaume wenye ndoa zetu, tukiamua kuwa waaminifu kwa wake zetu, kuna uwezekano mkubwa huko mitaani wanawake wengine wakiwepo wanafunzi wa vyuo wakapata shida zaidi. Shida zenyewe ni kukosa watu wa kuzaa nao, kukosa vipato na uchumi wao kuporomoka, kukosa ada na matumizi ya chuo n.k Kwa hiyo, sisi waume za watu tunatakiwa tuheshimiwe.​
Nasisi kama baba wenye mijengo vyumba vyetu vitakosa wapangaji maana kodi zitawashinda
 
Vile mke wako akiongea na wanaume wengine waliokuzidi Hela
20260410_171306.jpg
 
Back
Top Bottom