Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
- #21
Unakuza uchumi huko unapochepukiaNachepuka live bila chenga,hii papuchi hattuiachi
Unakuza uchumi huko unapochepukiaNachepuka live bila chenga,hii papuchi hattuiachi
Aah bana hakuna sababu zaid ya utelez baaas 🤣🤣🤣Sababu zinazopelekea kutoka nje ni nyingi
Inawezekana ndani hatupewi yoteAah bana hakuna sababu zaid ya utelez baaas 🤣🤣🤣
Tusipowekeza huko, wataafu wenye nyumba za kupangisha watakosa hela, wanaopenda chipsi kuku itawalazimu wapende tembele n.kHongera kwa kuwa na michepuko mkuu... Hakika umetumia haki yako ya kikatiba barabaraaaa
Sio wake wa watu mademu tuUnakuza uchumi huko unapochepukia
Hapa tunaongelea faida za kiuchumi. Kuna faida gani za kiuchumi mwanamke kuchepukaSi tulikubaliana kuchepuka ni ubinadamu 😆😆😆
Na kwako piaKila la kheri
Kila la kheri zenyu!
Kwani ni waume za watu tu ndo wanaohonga? Una akili kweli wewe?Kila kitu hutokea kwa sababu. Ikiwa sisi wanaume wenye ndoa zetu, tukiamua kuwa waaminifu kwa wake zetu, kuna uwezekano mkubwa huko mitaani wanawake wengine wakiwepo wanafunzi wa vyuo wakapata shida zaidi.
Shida zenyewe ni kukosa watu wa kuzaa nao, kukosa vipato na uchumi wao kuporomoka, kukosa ada na matumizi ya chuo n.k Kwa hiyo, sisi waume za watu tunatakiwa tuheshimiwe.
Ubongo wako una GB ngapi?Kwani ni waume za watu tu ndo wanaohonga? Una akili kweli wewe?