Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Atakuwa tayari ana uhakika na mme wa mtuImagine hao madada wote wanaolinga mtaani,ukimsemesha anakupandishia midomo, siku tumeacha kuwahonga sijui watalingia nini. Unalinga unalinga kitu gani wewe mwanadamu?
Kulinga ndo kufanya nini Mzee?Imagine hao madada wote wanaolinga mtaani,ukimsemesha anakupandishia midomo, siku tumeacha kuwahonga sijui watalingia nini. Unalinga unalinga kitu gani wewe mwanadamu?
Nasisi kama baba wenye mijengo vyumba vyetu vitakosa wapangaji maana kodi zitawashindaKila kitu hutokea kwa sababu. Ikiwa sisi wanaume wenye ndoa zetu, tukiamua kuwa waaminifu kwa wake zetu, kuna uwezekano mkubwa huko mitaani wanawake wengine wakiwepo wanafunzi wa vyuo wakapata shida zaidi. Shida zenyewe ni kukosa watu wa kuzaa nao, kukosa vipato na uchumi wao kuporomoka, kukosa ada na matumizi ya chuo n.k Kwa hiyo, sisi waume za watu tunatakiwa tuheshimiwe.
Wanao nufaika nao ni wachache sana ukiringanisha na wanaumeVile vile wake za watu pia wanatakiwa waheshimiwe
Tunakuza uchumi wa duniaNasisi kama baba wenye mijengo vyumba vyetu vitakosa wapangaji maana kodi zitawashinda
Kwa mtazamo huo tu, jogoo lazima asimame mwenyewe.Vile mke wako akiongea na wanaume wengine waliokuzidi HelaView attachment 3570657
Si tulikubaliana kuchepuka ni ubinadamu πππVile mke wako akiongea na wanaume wengine waliokuzidi HelaView attachment 3570657
Myaka ni kitu gani jamaa?Mdau unaongelea upande mmoja sioππ
Vipi wewe unaweza kua mwaminifu myaka 5 usile nje πππ
Si tulikubaliana kuchepuka ni ubinadamu πππ
Jibu swali mkuu si umeelewa lkn πππMyaka ni kitu gani jamaa?
Nipo single na sina mudi ya kuchepukaJibu swali mkuu si umeelewa lkn πππ
Sababu zinazopelekea kutoka nje ni nyingiMdau unaongelea upande mmoja sioππ
Vipi wewe unaweza kua mwaminifu myaka 5 usile nje πππ