[emoji41]🤏wonders shall ever endUnakuta mtu anajisifu kuwa yeye hapendi mademu kumbe ana kiwango kidogo cha testasteron mwilini.
Sisi wenye kiwango cha juu cha testasteron tunaonekana wahuni kisa tuna michepuko mingi.
Mtusamehe sio sisi bali ni hormone zimezidi hatuna jinsi zaidi ya kupeleka moto kwa hawa viumbe .
Kama una mpenzi mmoja au unakata mwezi bila kupeleka moto usijisifu bali kacheki hormone ya testasterone
Sema una sexual drive kubwa....acha kuaminisha watu uongo.....sexual drive ni genetic..unatoka kabila lenye sexual drive kubwa
Sema una sexual drive kubwa....acha kuaminisha watu uongo.....sexual drive ni genetic..unatoka kabila lenye sexual drive kubwa
Kuna kaukweli hapoSema una sexual drive kubwa....acha kuaminisha watu uongo.....sexual drive ni genetic..unatoka kabila lenye sexual drive kubwa
We ungesema tu hivi "Sisi malayer watuache tufanye umalayer" usizunguke sana brother..... Lkn sio uje kweny jukwaa la afya kuomba dawa za asil za kisonono na kaswendeUnakuta mtu anajisifu kuwa yeye hapendi mademu kumbe ana kiwango kidogo cha testasteron mwilini.
Sisi wenye kiwango cha juu cha testasteron tunaonekana wahuni kisa tuna michepuko mingi.
Mtusamehe sio sisi bali ni hormone zimezidi hatuna jinsi zaidi ya kupeleka moto kwa hawa viumbe.
Kama una mpenzi mmoja au unakata mwezi bila kupeleka moto usijisifu bali kacheki hormone ya testasterone
Utafanya umalayer wakati hauna nguvu wala hamu iliyopitiliza ya kupeleka motoWe ungesema tu hivi "Sisi malayer watuache tufanye umalayer" usizunguke sana brother..... Lkn sio uje kweny jukwaa la afya kuomba dawa za asil za kisonono na kaswende
Ww si ndo huko na hyo hamu hata ukiwa kanisani au msikitini, uwe umesimama uwe umekaa, uwe wapi wapi...... Basi huo tunauita umalayerUtafanya umalayer wakati hauna nguvu wala hamu iliyopitiliza ya kupeleka moto