Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Tulikua na malengo ya muda mrefuVipi april 16 hamkujipigia?
Na yalifanikiwaTulikua na malengo ya muda mrefu
Haswaaaa na Sasa tupo semi finalNa yalifanikiwa
Huku waanakufa kiume wakibaki kukodoa machoHaswaaaa na Sasa tupo semi final
Naam na Ili wajue kuwa tiliwaachia wajichanganye kwenye kombe la shirikisho la Azam tukutane naoHuku waanakufa kiume wakibaki kukodoa macho
AahaaaaNaam na Ili wajue kuwa tiliwaachia wajichanganye kwenye kombe la shirikisho la Azam tukutane nao
Mavi yakale hayanuki.Vipi april 16 hamkujipigia?
Hiyo haikuwa kipabele, tulitunza nguvu ya kutupeleka semi final cafcc na malengo yalitimiaVipi april 16 hamkujipigia?
Kama haikuw kipaumbele baada ya mechi kilichomfanya nabi akanena kwa lugha tano ni nini?Hiyo haikuwa kipabele, tulitunza nguvu ya kutupeleka semi final cafcc na malengo yalitimia
Singida? Kagera Sugar? Dodoma Jiji? Hawa wachovu sana kwetu. Yaani hawa huwa tunaingia kwenye ligi tukijua kabisa wanapoints zetu. Idadi ya mabao tu ndo tunakuwa hatujui.
Mbwa walidhani Singida watatusumbua..... Haitatokea.
Kwa hiyo yanga ni mavi ya kale????hahahahahaah kinyesi fc ,saa hizi ni mavi fcMavi yakale hayanuki.
Mbona unafikiri kimavimavi na weweKwa hiyo yanga ni mavi ya kale????hahahahahaah kinyesi fc ,saa hizi ni mavi fc
Hapana sio kujipigoa tu tunajipanga haswaaSingida? Kagera Sugar? Dodoma Jiji? Hawa wachovu sana kwetu. Yaani hawa huwa tunaingia kwenye ligi tukijua kabisa wanapoints zetu. Idadi ya mabao tu ndo tunakuwa hatujui.
Mbwa walidhani Singida watatusumbua..... Haitatokea.
Siku hizi umepoa kinoma [emoji23][emoji23]