Sisi Yanga tunashukuru tena Msimu huu Tumefikia lengo letu kumfunga Simba. Hilo ndilo lilikuwa kubwa kwetu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Nadhani Simba bado mnaugulia kipigo. Poleni sana. Sisi tunaendelea na kufurahia na ushindi wetu dhidi yenu msimu huu.

Hilo ndilo lilikuwa lengo letu kubwa na tunashukuru tumefanikiwa sana. Hayo ya Ubingwa si big deal.

Wala hatuna presha na mpira au ligi. Tunaendelea ku enjoy ushindi wetu. Na tunamshukuru sana mzee wetu mpili kwa kutuhangaikia.
 
Jina linasadifuakill
 
Sahihi kabisa na hayo ndo malengo makubwa ya Utopolo, mzee Mpili keshapewa milioni moja na Haji, zile nyuklia, nguo nyeupe pamoja na watu wake vyote kamuachia Haji nyumbani kwake, ataenda Kigoma mikono mitupu.
 
Nyie kusanyeni waganga na wachawi wote Tanzania nzima sisi tunakusanya makombe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…